Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

Serikali yetu ipo na wala haijala na hailali hata kwa sekunde moja. Ipo macho kuhakikisha kuwa Taifa lina kuwa na amani na utulivu na watanzania wanaishi kwa amani na kufanya shughuli zao kwa utulivu kabisa
Wasekwe ndani kabisa.Tuishi kwa amani.Watu wawili watatu,wasituvunjie amani yetu.
 
Sasa ni 5 Rs, imeongezeka RUNGU
 
Antanana uone cha moto.
CCCM hakuna kitu wanaogopa kama maandamano!!!

Ni jambo la kawaida, Nchi zilizoendelea wametengewa na maeneo kabisa.

Mtu asiye na silaha, anayetembea na kupaza sauti kudai HAKI anatakiwa asikilizwe Si kukamatwa.

Msiogope
 
Nchi inaangamia kwa watu wake kukosa maarifa. Kizazi cha Chawa hiki tutaona na kusikia mengi
 
Nchi inaangamia kwa watu wake kukosa maarifa. Kizazi cha Chawa hiki tutaona na kusikia mengi
Watu hawawezi kuachwa tu wakawa wanatoa lugha za uchochezi na matusi halafu waachwe tu kana kwamba wanaogopwa. Ni lazima tulinde amani yetu kwa wivu mkubwa sana
 
CCCM hakuna kitu wanaogopa kama maandamano!!!

Ni jambo la kawaida, Nchi zilizoendelea wametengewa na maeneo kabisa.

Mtu asiye na silaha, anayetembea na kupaza sauti kudai HAKI anatakiwa asikilizwe Si kukamatwa.

Msiogope
Ingia barabarani uandamane na kuongoza maandamano ili uone kitakachokupata.siyo ulete lugha zako za uchochezi za kuhamasisha machafuko halafu wewe unajificha chooni kwako
 
Wewe ni mpuuzi
Wenzako tuko ccm kitambo lakini hatufurahishwi na baadhi ya mambo kandamizi
Nenda kaandamane huko kama unaunga mkono mimatusi ya wahuni wachache wanaotaka kuharibu amani na utulivu wa Taifa letu,. Lazima wachochezi wote wawajibishwe na kukamatwa popote walipo
 
Nenda kaandamane huko kama unaunga mkono mimatusi ya wahuni wachache wanaotaka kuharibu amani na utulivu wa Taifa letu,. Lazima wachochezi wote wawajibishwe na kukamatwa popote walipo
Mimi sio muhuni wewe mpuuzi
Maisha mzuri tu na kadi ya ccm ninayo toka 2007
Bwege wewe

Wenzako tunapenda kuona haki na sio kila kitu kushabikia

#InIbrahimTraorevoice
 
Mimi sio muhuni wewe mpuuzi
Maisha mzuri tu na kadi ya ccm ninayo toka 2007
Bwege wewe

Wenzako tunapenda kuona haki na sio kila kitu kushabikia

#InIbrahimTraorevoice
Tangia lini kumtukana mwingine, kumshambulia mtu kwa lugha za matusi,ubaguzi na kila aina ya udhalilishaji ikawa haki? Mwana CM gani wewe usiye jitambua? Usiye na uchungu na Taifa lako? Usiye waza juu ya kesho ya Taifa letu? Usiye elewa athari ya ma kauli ya kihuni na kichochezi yanayotolewa na wachache wenye kutanguliza mbele matumbo yao.
 
Rudi shule wewe
IQ yako inaonekana iko low sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…