Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?

Juice yenyewe ndio wanaweka kwenye hizo plastic?
Wajinga wajinga ndiyo wananasa kwenye upuuzi kama huu. Dunia ya leo mtu ambaye hata humjui, akumiminie hiyo mi-juice inayopigwa vumbi barabarani huko, ufakamie! Kama wameweka dawa za kulewesha? Kama ameweka sumu? Ujinga ulioje!
 
Aiseh kuna muda nakuwaga bored gheto natafuta ugomvi, jmosi ijayo nitaenda kujipitisha mitaa ya hapo ili ninywe hio juice maksudi niache kulipa ili nione mtu wa kunikaba nimtoe meno ya sebureni.

Mkuu (mtoa maada) week ijayo ukipita hapo utakuta huyo mtu wako wa juice hana meno ya sebureni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sa buku tu ndo ikufanye uite jeshi la polisi! watoto wa mama bhanaaa[emoji848][emoji848]
 
Cha muhimu usinywe kitu kutoka kwa mtu usiemjua labda kama umenda kwa lengo la kununua hiyo juisi.
 
huo sio utapeli,inaitwa"KAA KIMASTA"

inaruhusiwa kabisa kumhadaa mteja kwa lugha ya ukarimu kisha kumdai pesa kwa huduma uliyompa.

kama huamini haya ninayokwambia ingia saloon kunyoa kisha baada ya kumaliza,itikia kila unachoambiwa,utakapodaiwa elfu 15,ndio utajua hujui.
 
Ukiwa unazubaa zubaa utatapeliwa tu,ukiwa busy na ratiba zako hakuna hata wa kukuuliza
 
Yani ninavyokuwaga makini kariakoo sitaki hata kuguswa wala kuitikia salamu yoyote ile haswa kwa hao wachuuzi maana unaweza kushtuka vitu vyako vimeibiwa vyote hata kwa mgusano tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Hatakama nakufahamu nikikuona Town napita na mishe zangu niwahi nyumbani

Unaanzaje kupokea juice na kuitikia Wito wa mtu usiyemjua haswa njiani tena Karume?!
 
Hiyo haijaanza Leo nakumbuka mwaka 2015 nikiwa first year tumepata boom tukazama kariakoo na washikaji, kufika karume tukakaribishwa Juice tuliambiwa ni Tshs100 glass, tukanywa kujakulipa TSH 100 jamaa wakatubadilikia kuwa uliona wapi juice ikiuzwa Tsh100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ