Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?

kwani ilikuwa lazima utukane wewe tajiri mkopeshaji?
 
Labda nyie wenyeji wa Dar ndiyo mnaweza kunywa juisi ya barabarani. Mimi wa kuja kamwe siwezi, nakuwa nahisi wameweka madawa ya kulevya waniibie.!
 
Hapo wizi uko wapi? Yaani unywe juice ya watu tena inayouzwa halafu ukatae kulipa?
 
Huo wizi uko wapi hapo? Unywe juice ya watu tena sehemu ya biashara halafu usilipe?
 
Slogan yetu ni ile ile, hakuna cha bure. Ukiishi kwenye slogan hiyo basi utakuwa salama.
 
Unakunywaje juice kariakoo...sio kunywa tu hata kula kariakoo ni tatizo
 
Kuwa makini boro next time utabakwa baada ya kulewa hiyo juice.
 
Ndio mkome kula kula ovyo mitaani mivyakula ambayo hata hujui imeandaliwa kwenye mazingira gani
 
Sio utapeli biashara ubunifu.mimi na mpango wa kuanzisha naleta msosi kisha naondoka jioni narudi kupitia pesa.utake usitake
 
Cha bure kaburini ndugu lipa tu

Ukipenda kula vya watu sharti uliwe
 
Sasa unakulaje kitu hauna uwezo wa kukinunua kwa hela yako..?
Nyie wenzetu hamkuwa mnachapwa kula kwenye nyumba za watu mkiwa wadogo..?
Malezi mabovu sana.
 
We umeandika Nini?
 
shobo zako ukalaumu polisi kwani ukipewa juice lazima unywe hujafunzwa kusema asante? njaa zitawafanya vibaya..... punguza ushamba
Au wewe ndio muuza juice masma si kwa kukasirika huko.
 
Watu wa Dar aisee mna matatizo ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…