Jeshi la Polisi limuite Abdul Nondo na wenzake kwa mahojiano ili kujua nia yao ni nini, na mahala pa kuelekea katika maandamano ili wasivuruge amani

Duniani ni Tanzania pekee inayosubiri eti viongozi watatu wa chama waandamane kwa niaba yao! Huu ni ujuha, wananchi buandamana baada ya kuchukizwa na jambo bila kujali vyama.
Raila anaongoza maandamano, wananchi wanafuata,

Alipowaambia stop wameacha, usijitoe ufahamu, ktk everything lazima leader awepo.
 
Yeye anaratibu kisha wananchi wanaandamana nchi nzima, hata Nairobi huwa wamegawanyika maeneo mengi tofauti hawako mtaa mmoja kama sisi.
 
Hayo ya ACT yalikuwa mkusanyiko wa wahuni tu
 
Yeye anaratibu kisha wananchi wanaandamana nchi nzima, hata Nairobi huwa wamegawanyika maeneo mengi tofauti hawako mtaa mmoja kama sisi.
So wananchi Huwa wanaorganize bila leaders kuconnect?
 
Back
Top Bottom