Jeshi la polisi linachunguza tuhuma za kuhusika askari katika kupotea kwa Mdude Nyagali

Du kesi ya panya buku wanachunguza panya!
 
jamaa mtoa taarifa lazima atapelekwa mahakamani kwa kutoa tuhuma za uongo.
Subirini muone
 
Namsipo chunguza mtachunguzwa siku kwa humo ni makazi ya chawa kiasi kuwa hamna tena kazi ila unashiba kwa kumtumikia nani,na kwa namna hiyo mtaanza kufarakana kutoka ndani kwenu na hilo ni jambo hatari kwa wote kuliko maslahi ya mto mmoja mmoja kutoka kundi lenu,ila ni hasara kubwa kwa taifa ,maslahi yake hata walemnao watumikia leo hawatakuwa na uwezo wa kuwahudumia tena.Hivyo ni bora kufuata njia sahihi za haki,na uwazi,na kwa kuzingatia kanuni na maadili.
 
Dulla anamchunguza Abdallah
 
hii tabia yakudhuru watu inapaswa kukomeshwa, kama siasa umeshindwa tafuta kazi nyingine, tuweke kanuni miiko na taratibu za siasa, tumegeuza siasa mpira wa sembo unachezwa bila kanuni, sasa nyagali alikuwa na shida gani wamfanyie yote hayo? huyu jamaa hata umwenyekiti wa mtaa hawezi shinda kisa cha kumvamia kijambazi na kuchomoa roho yake mnatafuta nini hasa. hii tabia ya kupiga mdomo na kitu butu ikome, mjue wote tutakutana aidha motoni au mbinguni na kwa haya tutakutana jehanamu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…