Hayo ndio madhara ya kumudharau mtu na kumchulia kuwa asiyeweza chochote.Anageuka kua toto tundu toto korofi Johnny Mad DogView attachment 3325684
View attachment 3325685
View attachment 3325686
Hayo ndio madhara ya kumudharau mtu na kumchulia kuwa asiyeweza chochote.Anageuka kua toto tundu toto korofi Johnny Mad DogView attachment 3325684
View attachment 3325685
View attachment 3325686
Jeshi hili hili linaloongozwa na muuaji WAMBURA NA KINGAI?Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi pamoja na kumuahidi kumpatia fedha.
Kufuatia taarifa hiyo, Jeshi la Polisi kupitia Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai limeunda kikosi kazi ambacho tayari kimeshafika mkoani Mbeya kwa ajili ya uchunguzi juu ya suala hilo.
Wakati uchunguzi juu ya suala hilo ukiendelea, Jeshi la Polisi linatoa rai kwa wananchi, yeyote mwenye taarifa zitakazosaidia kubaini ukweli juu ya suala hili atoe ushirikiano kwa kutoa taarifa hizo kwa Jeshi la Polisi.
View attachment 3324558
Soma
Wanajitekenya na kucheka - taasisi inajichunguza yenyewe?
Jeshi la polisi linachunguza tuhuma za aliyetoa taarifa za polisi kuhusika na sio kuchunguza kutekwa kwa mdude
Haya mambo yamefika mwisho wakeHawa watu ni ******* kweli, Mzee kataka Polisi shabai n mwingine.
Anasema Taarifa alipeleka mpaka Kwa RPC, na RCO.
Alafu bado wanatoa tamko lakijinga Jinga namna hii
Haliwezekani hilohuwezi ukajichunguza
Hawajatuambia ila si walishasema kwamba wanajua tutapiga kelele siku kadhaa alafu tunasahau. Kwa hiyo hapo washazimaHuu uchunguzi uliishia wapi?wahuni hawa
Haitowahi kutokea mwizi akachunguza wizi.
Jambazi akachunguza ujambazi.
Muuaji akachunguza mauaji.
Mwizi wa kura akaunda tume ya uchaguzi.
Ushahidi upo na utaendelea kuishi.
Kama tweet hii ya Mdude.
View: https://x.com/i/status/1917537265070531059
Je watawala waliwahi kujiuliza mbeleni miaka 30 mfumo ukija kubadilika wajukuu wao wataishi katika hali gani?
Ikija kutokea serikali ya chama kingine na mifumo ya kiutawala mtoto wa Mdude akakwaa cheo katika majeshi au chombi chochote cha ulinzi je wajukuu wa Samia watakua salama??
Watawala waliwahi kujiuliza ipo siku wajukuu wao nao wataomba hifadhi Kenya, Canada, Ubelgiji kama wanavyowakebehi watu sasa wakisema wanatumiwa na kulipwa kuichafua nchi.
Kuna siku hii mbegu itaota na kuzaa matunda wanaweza kutokuwepo ila matunda hayo yatavunwa na wajukuu wao.
Mchango umeanzishwa kwenye namba ya Mafwele hujaona?Sawa basi anzisheni mchango kwa namba ya Brenda Rupia ili mchangishe hela ya kutunza mtoto wa Mdude. Siyo mnatumia tu tukio la Mdude kujiongezea umaarufu wa kisiasa.
Unaweza kutoa mfano wa "kujaza vijana ujinga " unawajaza vipi?Mnawajaza vijana ujinga wanapofanya upumbavu, nao wanajaa. Wanajiona wakombozi, huku nyinyi kazi yenu ni kuandika tu mitandaoni
🚮Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi pamoja na kumuahidi kumpatia fedha.