vipanda thamani
JF-Expert Member
- Jul 7, 2022
- 603
- 954
Kuna kamchezo kanaendelea kama cha enzi nzile kuna mtu mkubwa yuko nyuma ya mchezo huu haya matukio lengo lake ni kumpoteza mtu, ajichanganye watu wafanye yao ukianfalia kigogo kaanza kutoa sifa za kijinga kwenye michezo hii maranyingi wanaotajwa huwa sio ili waonekane wabaya ika master plan huwa kimyaaa sana na busy kusifiwa enzi zao.Hawa watu ni ******* kweli, Mzee kataka Polisi shabai n mwingine.
Anasema Taarifa alipeleka mpaka Kwa RPC, na RCO.
Alafu bado wanatoa tamko lakijinga Jinga namna hii