vipanda thamani
JF-Expert Member
- Jul 7, 2022
- 603
- 954
Kuna kamchezo kanaendelea kama cha enzi nzile kuna mtu mkubwa yuko nyuma ya mchezo huu haya matukio lengo lake ni kumpoteza mtu, ajichanganye watu wafanye yao ukianfalia kigogo kaanza kutoa sifa za kijinga kwenye michezo hii maranyingi wanaotajwa huwa sio ili waonekane wabaya ika master plan huwa kimyaaa sana na busy kusifiwa enzi zao.Hawa watu ni ******* kweli, Mzee kataka Polisi shabai n mwingine.
Anasema Taarifa alipeleka mpaka Kwa RPC, na RCO.
Alafu bado wanatoa tamko lakijinga Jinga namna hii
Wacha tu tupumzike na mitusi ya yule mwanaharamu asiye na heshima kwa wakubwa na viongozi wa nchi. Utafikiri hakuzaliwa bali aliharishwa. Msikie hapa;-Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi pamoja na kumuahidi kumpatia fedha.
Kufuatia taarifa hiyo, Jeshi la Polisi kupitia Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai limeunda kikosi kazi ambacho tayari kimeshafika mkoani Mbeya kwa ajili ya uchunguzi juu ya suala hilo.
Wakati uchunguzi juu ya suala hilo ukiendelea, Jeshi la Polisi linatoa rai kwa wananchi, yeyote mwenye taarifa zitakazosaidia kubaini ukweli juu ya suala hili atoe ushirikiano kwa kutoa taarifa hizo kwa Jeshi la Polisi.
View attachment 3324558
Soma
Ila mdude nae alizidiWacha tu tupumzike na mitusi ya yule mwanaharamu asiye na heshima kwa wakubwa na viongozi wa nchi. Utafikiri hakuzaliwa bali aliharishwa. Msikie hapa;-
View attachment 3324797
Kazi nzuri tu imefanyika. Mdude alikuwa ni kero kwenye mitandao ya jamii. Anatukana kama vile hakuzaliwa bali aliharishwa tu. Tanzania ni salama zaidi bila @Mdude_Nyagali
mbona hakuna tusi apo... au ndio walewaleWacha tu tupumzike na mitusi ya yule mwanaharamu asiye na heshima kwa wakubwa na viongozi wa nchi. Utafikiri hakuzaliwa bali aliharishwa. Msikie hapa;-
View attachment 3324797
Kazi nzuri tu imefanyika. Mdude alikuwa ni kero kwenye mitandao ya jamii. Anatukana kama vile hakuzaliwa bali aliharishwa tu. Tanzania ni salama zaidi bila @Mdude_Nyagali
😎😎Mdude ametekwa nana kuvunja milango ya nyumba yake na watu waliovamia kwake usiku Sasa huko ni kutekwa na watu ambao ni askari sio kwamba amepotezwa na hao usalama,polisi,Sasa wanaotuhumiwa kumtekata tena wanafanyaje uchunguzi???? Wajichunguzr wenyewe tuache utani na uhai wa mtu,mungu atatuhukumu kwa uovu huu
Zwazwa sana jamaaWacha tu tupumzike na mitusi ya yule mwanaharamu asiye na heshima kwa wakubwa na viongozi wa nchi. Utafikiri hakuzaliwa bali aliharishwa. Msikie hapa;-
View attachment 3324797
Kazi nzuri tu imefanyika. Mdude alikuwa ni kero kwenye mitandao ya jamii. Anatukana kama vile hakuzaliwa bali aliharishwa tu. Tanzania ni salama zaidi bila @Mdude_Nyagali
We jamaa nawe...mbona hakuna tusi apo... au ndio walewale
Mno00...Ila mdude nae alizidi
Mdude alikuwa hatarini sana hata kufanyiwa ubaya na watu wake wenyewe ili kupata kiki ya kisiasa. Polisi wafanye kazi yao tujue wahusika wa huu uovu.Wacha tu tupumzike na mitusi ya yule mwanaharamu asiye na heshima kwa wakubwa na viongozi wa nchi. Utafikiri hakuzaliwa bali aliharishwa. Msikie hapa;-
View attachment 3324797
Kazi nzuri tu imefanyika. Mdude alikuwa ni kero kwenye mitandao ya jamii. Anatukana kama vile hakuzaliwa bali aliharishwa tu. Tanzania ni salama zaidi bila @Mdude_Nyagali
soma kitabu rise and fall of socialism utajua yote haya.Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi pamoja na kumuahidi kumpatia fedha.
Kufuatia taarifa hiyo, Jeshi la Polisi kupitia Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai limeunda kikosi kazi ambacho tayari kimeshafika mkoani Mbeya kwa ajili ya uchunguzi juu ya suala hilo.
Wakati uchunguzi juu ya suala hilo ukiendelea, Jeshi la Polisi linatoa rai kwa wananchi, yeyote mwenye taarifa zitakazosaidia kubaini ukweli juu ya suala hili atoe ushirikiano kwa kutoa taarifa hizo kwa Jeshi la Polisi.
View attachment 3324558
Soma
Pua zetu zimeangalia chini.woootee lazima tutakufa ila king crazy GK anauliza nitakufaje..?unashangilia jambo ambalo lazima litakupata mda wowote ni ujingaWacha tu tupumzike na mitusi ya yule mwanaharamu asiye na heshima kwa wakubwa na viongozi wa nchi. Utafikiri hakuzaliwa bali aliharishwa. Msikie hapa;-
View attachment 3324797
Kazi nzuri tu imefanyika. Mdude alikuwa ni kero kwenye mitandao ya jamii. Anatukana kama vile hakuzaliwa bali aliharishwa tu. Tanzania ni salama zaidi bila @Mdude_Nyagali
Mpaka unajiuliza maswali kuwa suppose CHADEMA wanapata fursa ya ushindi wa uchaguzi na kuanza kutwala, je wangetumiaje mtu kama Mdude_Nyagali? Wangempa nafasi gani?Ila mdude nae alizidi
Hebu nenda kwa Mama yako mzazi kmatamkie maneno hayo aliyotamka Mdude, kama hatakuchukulia hatua basi mama yako atakuwa taahira na kazaa taahirambona hakuna tusi apo... au ndio walewale
matako yako wewe na huyo mama yakoHebu nenda kwa Mama yako mzazi kmatamkie maneno hayo aliyotamka Mdude, kama hatakuchukulia hatua basi mama yako atakuwa taahira na kazaa taahira
Kama maneno ya Mdude_Nyagali hayajakugusa basi leo kayatamke kwa Mama yako mzazi. Halafu asipokuchukulia hatua nitajua kuwa Mama yako ni taahira na kazaa mtoto taahiraPua zetu zimeangalia chini.woootee lazima tutakufa ila king crazy GK anauliza nitakufaje..?unashangilia jambo ambalo lazima litakupata mda wowote ni ujinga
Anageuka kua toto tundu toto korofi Johnny Mad DogOgopa sana mtu mnyonge, siku akiamua kuwa mjasiri na mkaidi hutaamini kama ni yeye.