Jeshi la polisi linachunguza tuhuma za kuhusika askari katika kupotea kwa Mdude Nyagali

Historia ya Mdude katika umri aliokuwa nao haionyeshi kama aliwahi kuwa mhalifu, tutajua zaidi kadri wadau wanavyoandika.
Kilicho wazi ana elements nyingi za haki na kutopenda kuonewea. Siioni damu yake ikimwagika bure!
 
Kwa lugha rahisi,
jamaa hayupo nasi.

#kazi ya mama haina makosa
 
Jeshi hili hili linaloongozwa na muuaji WAMBURA NA KINGAI?
USITEGEMEE JIPYA HAPO
 
Haitowahi kutokea mwizi akachunguza wizi.

Jambazi akachunguza ujambazi.

Muuaji akachunguza mauaji.

Mwizi wa kura akaunda tume ya uchaguzi.

Ushahidi upo na utaendelea kuishi.

Kama tweet hii ya Mdude.


View: https://x.com/i/status/1917537265070531059
Je watawala waliwahi kujiuliza mbeleni miaka 30 mfumo ukija kubadilika wajukuu wao wataishi katika hali gani?

Ikija kutokea serikali ya chama kingine na mifumo ya kiutawala mtoto wa Mdude akakwaa cheo katika majeshi au chombi chochote cha ulinzi je wajukuu wa Samia watakua salama??

Watawala waliwahi kujiuliza ipo siku wajukuu wao nao wataomba hifadhi Kenya, Canada, Ubelgiji kama wanavyowakebehi watu sasa wakisema wanatumiwa na kulipwa kuichafua nchi.

Kuna siku hii mbegu itaota na kuzaa matunda wanaweza kutokuwepo ila matunda hayo yatavunwa na wajukuu wao.
 
Sawa basi anzisheni mchango kwa namba ya Brenda Rupia ili mchangishe hela ya kutunza mtoto wa Mdude. Siyo mnatumia tu tukio la Mdude kujiongezea umaarufu wa kisiasa.

Mnawajaza vijana ujinga wanapofanya upumbavu, nao wanajaa. Wanajiona wakombozi, huku nyinyi kazi yenu ni kuandika tu mitandaoni
 
Sawa basi anzisheni mchango kwa namba ya Brenda Rupia ili mchangishe hela ya kutunza mtoto wa Mdude. Siyo mnatumia tu tukio la Mdude kujiongezea umaarufu wa kisiasa.
Mchango umeanzishwa kwenye namba ya Mafwele hujaona?
Mnawajaza vijana ujinga wanapofanya upumbavu, nao wanajaa. Wanajiona wakombozi, huku nyinyi kazi yenu ni kuandika tu mitandaoni
Unaweza kutoa mfano wa "kujaza vijana ujinga " unawajaza vipi?

Vipi ile project yako ya wakatoliki wa Vatican mtakuja na episode ipi au posho bado haijaingia?
 
🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…