ZWAMBATUMA
Member
- Nov 25, 2024
- 91
- 133
Hizo ni drama tu.Kwani Samia anasemaje?
HahahahaMazishi yatakuwa ya KiTS au KiTiarae?
Ninavyoifahamu polisi ya Wambura. Hapo wameshaandaa maelezo ya awali ya kesi. Kinachotakiwa nikuwakamua golori watuhumiwa hadi wakubali kusaini maelezo yaliyoandaliwa.Watu wanne washikiliwa Kwa mauaji ya Afisa wa TRA kufutia kushambuliwa na wananchi Tegeta kwa ndevu.
Wanatuhumiwa kwa mauaji, kuharibu gari, pia kuna wengine wanahojiwa kwa tukio hilo.
Kamanda Muliro anasema kuwa, Jeshi la Polisi linatoa Onyo kali kwa watu wanaotaka kujenga utamaduni wa kushambuliwa Maafisa wa Serikali wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao licha ya kuwa wanafata sheria na kanuni za kutekeleza majukumu hayo.
Amesema Jeshi la Polisi halitavumilia jambo hilo hata kidogo, hatua stahiki zitachuliwa dhidi ya vitendo hivyo ipasavyo.
View attachment 3171219
Pia soma:
Mimi naona huyo afisa ameuliwa na watu wasiojulikana kwa maana nyingine nashauri hao wanne wachiwe ili wasubiri tume itakayoundwaWatu wanne washikiliwa Kwa mauaji ya Afisa wa TRA kufutia kushambuliwa na wananchi Tegeta kwa ndevu.
Wanatuhumiwa kwa mauaji, kuharibu gari, pia kuna wengine wanahojiwa kwa tukio hilo.
Kamanda Muliro anasema kuwa, Jeshi la Polisi linatoa Onyo kali kwa watu wanaotaka kujenga utamaduni wa kushambuliwa Maafisa wa Serikali wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao licha ya kuwa wanafata sheria na kanuni za kutekeleza majukumu hayo.
Amesema Jeshi la Polisi halitavumilia jambo hilo hata kidogo, hatua stahiki zitachuliwa dhidi ya vitendo hivyo ipasavyo.
Pia soma:
Kifo ni kifo tuu.Kwani Samia anasemaje?
πππMazishi yatakuwa ya KiTS au KiTiarae?
Waliomteka live Ali Kibao huku watu wakishihudia na wakaenda kumuua anasemaje kuhusu hilo? Au ndiyo kwa Mr Kibao inakuwa 'kifo ni kitu' hata nchi za magharibi wanakufa halafu huyu dogo wa kundi la wasiojulikana kifo chake ndiyo muhimu kwamba polisi imewauma sana.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari.
Fuatilia hapa kwa updates kwa yatakayojiri.
Hao mafara bado tu awajaanza kutoa hotubaππππππππnataka kuwasikiliza ni taarabu gani kutoka kwa mjalaana sa100 wanataka kutuimbiaKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari.
Fuatilia hapa kwa updates kwa yatakayojiri.
Heri kukaa gerezani miaka 100 ukiwa unapigania haki ya Taifa kulingana na hofu iliyojengwa na watawala kwa kushindwa kutekeleza majukumu waliyotakiwa kiyatekeleza ambayo ni ulinzi wa raia kuliko kukaa uraiani siku moja kwa hofu na wasiwasi wa nani atafuatia kutekwa,Kesi ya mauaji? Wamekwiiishaaaaa, minimum gerezani miaka 10 ya kukaa rumande, halafu wanaenda kukaa deathrow, kwa kuwa ulimshambulia Afisa wa serikali, kupata msamaha wa Rais ni ndoto, basi angalau zingekuwa za Mzee Alinacha, zao Zita kuwa ndoto za marehemu(kwa kuwa huwa hawaoti).
Wanaowahamasisha wako JF wanaweka vibando vyao vya 500 wawaingize chaka wengine, akili za kuambiwaaa
Wanasema hawaongezi magereza kwa sababu ya watu wasiojitambua, tena wachache, taarifa ya mkuu wa magereza inasema wanaokaa rumande na waliofungwa wamepungua sana katika magereza yote nchini.Heri kukaa gerezani miaka 100 ukiwa unapigania haki ya Taifa kulingana na hofu iliyojengwa kwa kushindwa kutekeleza majuku kwa watawala kuliko kukaa uraiani siku moja kwa hofu na wasiwasi wa nani atafuatia kutekwa,
Nakutuma chawa kawaambie hao wanaokulipa kuwa waongeze magereza kwani hawawezi kuzima moto kwa kuumwagia mafuta ya taa wala hawawezi kuficha donda lisilotibiwa kwa kulifunika na nguo litaoza na kunuka tu, wajiandae kutoa funza. Naweka nukta