Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Kifo ni kifo tuKwani Samia anasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo ni kifo tuKwani Samia anasemaje?
Hapo ndo polisi nawaonaga wasengeIla wale wauaji wa Mzee kibao mpaka leo hawajapatikana
We unadhani kwenye mob justice wauaji huwa hawajulikani,endeleeni kujidanganya.Watawasumbua tu watu, ila huwezi kumfunga mtu katika tukio kama hilo.
Kama hakuna video iliyorekodiwa hakuna kesi hapo ya kumfunga mtu.We unadhani kwenye mob justice wauaji huwa hawajulikani,endeleeni kujidanganya.
Ukae gerezaHeri kukaa gerezani miaka 100 ukiwa unapigania haki ya Taifa kulingana na hofu iliyojengwa na watawala kwa kushindwa kutekeleza majukumu waliyotakiwa kiyatekeleza ambayo ni ulinzi wa raia kuliko kukaa uraiani siku moja kwa hofu na wasiwasi wa nani atafuatia kutekwa,
Nakutuma chawa kawaambie hao wanaokulipa kuwa waongeze magereza kwani hawawezi kuzima moto kwa kuumwagia mafuta ya taa wala hawawezi kuficha donda lisilotibiwa kwa kulifunika na nguo litaoza na kunuka tu, wajiandae kutoa funza. Naweka nukta
Hizo video mbona ziko nyingi tu,alafu nani kakuambia mahakama inapokea ushahidi wa video peke yake?Kama hakuna video iliyorekodiwa hakuna kesi hapo ya kumfunga mtu.
Thenk yuu, kii bod woria.Heri kukaa gerezani miaka 100 ukiwa unapigania haki ya Taifa kulingana na hofu iliyojengwa na watawala kwa kushindwa kutekeleza majukumu waliyotakiwa kiyatekeleza ambayo ni ulinzi wa raia kuliko kukaa uraiani siku moja kwa hofu n wasiwasi wa nani atafuatia kutekwa,
Nakutuma chawa kawaambie hao wanaokulipa kuwa waongeze magereza kwani hawawezi kuzima moto kwa kuumwagia mafuta ya taa wala hawawezi kuficha donda lisilotibiwa kwa kulifunika na nguo litaoza na kunuka tu, wajiandae kutoa funza. Naweka nukta
WATEKAJI wale, hakuna ofisa wa TRAMbuzi wa kafara. Hao maafisa wa TRA ndio waliopaswa washikiliwe kwa kuzua taharuki kwenye jamii. Nimeona hata plate namba za gari ni tofauti na gari yenyewe
Kwasasa dawa yenu WATEKAJI ni kupigwa mawe hadi kufia eneo la tukio, hakuna namna tenaKesi ya mauaji? Wamekwiiishaaaaa, minimum gerezani miaka 10 ya kukaa rumande, halafu wanaenda kukaa deathrow, kwa kuwa ulimshambulia Afisa wa serikali, kupata msamaha wa Rais ni ndoto, basi angalau zingekuwa za Mzee Alinacha, zao Zita kuwa ndoto za marehemu(kwa kuwa huwa hawaoti).
Wanaowahamasisha wako JF wanaweka vibando vyao vya 500 wawaingize chaka wengine, akili za kuambiwaaa
Sawa ila waliomuua mzee kibao hawajakamatwa wala hawajulikani hadi leo lakini wakiuliwa vipenyo na vificho wenu mnakamata hadi inzi qmamae zenu wadanganyika.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa mpigadebe wa Tegeta DAWASCO na Rashid Mtonga (29) kazi yake ni Bodaboda kwa mauaji ya mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Amani Simbayao.
Watuhumiwa hao, pamoja na wengine ambao bado wanashikiliwa kwa tuhuma hizo, wanahojiwa kwa kina, ikiwa ni pamoja na kumjeruhi mtumishi mwingine aliyefahamika kwa jina la Adriano Fredrick.
Watuhumiwa hawa ambao bado wanashikiliwa na Wanahojiwa kwa kina wakati wanawashambulia maafisa hao waliharibu pia gari la Serikali la TRA, gari namba STL 9922 aina ya Toyota Land Cruiser
======
View attachment 3171365
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linawashikilia watuhumiwa wanne 1. Deogratius Paul Masawe miaka 49 kuli , mkazi wa Tegeta kwa ndevu 2. Idd Bakari miaka 30, kuli mkazi Tegeta kwa ndevu.3.Omar Issa miaka 47 ,myao, mpiga debe mkazi wa Tegeta Dawasco 4.Rashid Mtonga myao , miaka 29 kazi ya bodaboda , mkazi wa Bunju.
Wanatuhumiwa kufanya mauaji ya mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aitwaye Amani Kamguna Simbayao pia kumjeruhi Adriano Fredrick wa TRA. Watuhumiwa hao na wengine ambao bado wanahojiwa kwa kina walikamatwa baada ya kuwashambulia maafisa hao wa TRA wakati wakitekeleza majukumu yao ya kisheria. waliliharibu pia gari namba STL 9923 aina Toyota Land Cruiser Hardtop nyeupe mali ya Mamlaka ya Mapato Tanzania.
Tukio hilo lilitokea tarehe 05 Desemba, 2024 majira ya saa 03 :00 usiku Tegeta kwa Ndevu Kinondoni baada ya Maafisa hao wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kukamata gari namba T 529 DHZ aina ya BMW rangi nyeupe lililodaiwa kuwa na makosa ya kikodi
Jeshi la Polisi Kanda maaalum ya Dar es Salaam linawaonya vikali na halitavumilia watu ambao wanataka kujenga tabia ya kuwashambulia watumishi wa Serikali wakati wakitekeleza majukumu yao licha ya kuwa wanakuwa wamefuata taratibu zote za kisheria.Jeshi halitasita kuchukua hatua kali za haraka na za kisheria dhidi ya wahusika kwa kuwafikisha kwenye mamlaka zingine za haki.
Imetolewa na;
Muliro J. Muliro -SACP
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam