Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

Wanasema hawaongezi magereza kwa sababu ya watu wasiojitambua, tena wachache, taarifa ya mkuu wa magereza inasema wanaokaa rumande na waliofungwa wamepungua sana katika magereza yote nchini.

Halafu watu wa hovyo kama wewe hamko wengi
Huwa sipotezi muda wangu kwa machizi, endelea kuimba mapambio
 

Kuna wengine wakiuawa huwa uchunguzi "unaendelea" mpaka picha linaisha ila leo wameguswa watu wao watuhumiwa wamedakwa chap.!
 
One of the biggest sign of collapse of any regime or government is a war on cops and distrust of law enforcement.

Maza akitoboa na kuvuka salama 2025 ntampa taji la dhahabu.​
 
grave mistake kumuua Simbayao halafu ukanyakwa, eti kwasabb ya mihemko yako binafsi tu na kupumbazwa na kufuata mikumbo ya mitandaoni, aiseee dah!

ni ngumu kuchomoka kwa mujibu wa sheria, na kwakweli ni muhimu sana kwa jamii nzima kujifunza, ili iwe fundisho kwa makaidi wengine wenye nia au mipango ovu kama hiyo

anapotea simba moja nyumbu 6wanateseka maisha yao yote korokoroni dah, inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise 🐒
 
Kesi za mauji bwana za ajabu,siku ya hukumu ya kesi za mauji wanaweza wakapelekwa mahakama kuu watuhumiwa kumi wa mauji tofauti tofauti, ukakuta wote wakaachiwa huru,


Kesi za mauaji inataka ushaidi wa kuona usio na shaka,
 
Nilifikiri wote wangekuwa wachagga angalau kati ya 4 nimepatia 1. I am 25% correct!
 
Wauaji wenyewe sasa, wako mahali salama wanakunywa kahawa na kufuatilia taratibu drama za polisi wanavyowaminya bangusilo kuwafurahisha wenye jumba na nyie machawa wao.

Mambo ni tick, tock, tick, tock … (sio Tic Toc) hadi jumba lote liporomoke mithili ya Haiti au Jamhuri ya Afrika ya Kati.
 
Waliomteka Soka ni polisi wenyewe, waliokuwa wanataka kumteka Tarimo ni polisi wenyewe, yule wakili wa juzi ni polisi wenyewe, Sativa ni polisi wenyewe, Mlay, Dionizi n.k ni mapolisi ndio wahusika.

Nani atawatia mbaroni hawa wauaji na watekaji?
 

Je, Watu hao kweli walikuwa Ni Maafisa wa Forodha wa TRA au Undercovers wa Abduction Squad ambao wamekuwa infiltrated ndani ya TRA ili to conceal their real identities in their illicit activities??? Siyo kwamba hivyo vyeo vya huko TRA vinatumika tu kama 'Cover' ya hizo kazi zao za Siri?
Siyo kwamba hilo lilikuwa jaribio la utekaji lililofeli? Not a failed attempt of abduction
Je, Watu hao kweli walikuwa Ni Maafisa wa Forodha wa TRA au Undercovers wa Abduction Squad ambao wamekuwa infiltrated ndani ya TRA ili to conceal their real identities in their illicit activities??? Siyo kwamba hivyo vyeo vya huko TRA vinatumika tu kama 'Cover' ya hizo kazi zao za Siri?
Siyo kwamba hilo lilikuwa jaribio la utekaji lililofeli? Not a failed attempt of abduction?

They reap what they sow!

Walipaswa kusoma alama za nyakati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…