Mwandambo kamchochea nani?
Huu uonevu tutaumaliza tarehe 9 DecemberWale waliosema watakata waandamanaji vichwa wameshakamatwa kwa uchochezi wao wa kidini?
Na Mange,Maria Sarungi,Hilda Newton na Sativa hawa nao mbona hawakamatwiWale waliosema watakata waandamanaji vichwa wameshakamatwa kwa uchochezi wao wa kidini?
Atakamatwa na nani wakati katumwa na Abdul kumtetea bimkubwa wake?Yule aliyesema atakata watu vichwa amekamatwa?