Polepole yuko wapi?Ukitekwa baada ya muda wanasema umeshikiliwa na polisi....nachoka mimi baba yenu😞
Inabidi akamatwe haraka..Yule aliyesema atakata watu vichwa amekamatwa?
Janjaweed Green Guards hawa nani asiewajua,? WauajiHawa wamewakamata tayari?
View attachment 3505889
Na ww km una watoto hata familia yako walipata hasara kubwa sana ya kuzaa mtoto ambaye ni chawa na sijui km huko nyuma uko salamaJeshi la polisi mkoani mbeya linamshikilia mwalimu clemence mwandambo wa shule ya awali na msingi saint clemence kwa tuhuma za msudhui yasiofaa mtandaoni.
my Take:Wazazi ambao watoto wao wanafundishwa na mwalimu huyu wana kazi nzito sana
Hayuko salama itakua Abdul kafanya yake..na sijui km huko nyuma uko salama
Utakuwa umefanyiwa anal abuse na baba yako ulivyokuwa mdogo nakushauri nenda kwa wanasaikolojia wakutibuNa ww km una watoto hata familia yako walipata hasara kubwa sana ya kuzaa mtoto ambaye ni chawa na sijui km huko nyuma uko salama
Ndo maana nilikua nashangaa kwa nn unashabikia upuuzi kumbe baba yako alikufumua malinda pole kijana ila sasa hao unao washabikia wanaendelea kukufokoa maana mtoto wake yule bb anawapiga sana mbupu nyinyi machawaUtakuwa umefanyiwa anal abuse na baba yako ulivyokuwa mdogo nakushauri nenda kwa wanasaikolojia wakutibu
Tatizo siyo police bali akili za watawala.Nafikili ni mda wa kubadili sifa za kujiunga na jeshi la polisi, atleast iwe diploma kuendelea
Ishu sio elimu, ishu ni mfumo wetu na sheria zetu. Mbona kuna maprofesa wengi lakin ni machawa kupitiliza... Mfumo unawafanya watawala wawe miungu watu....Nafikili ni mda wa kubadili sifa za kujiunga na jeshi la polisi, atleast iwe diploma kuendelea
pole sana kwa post trauma psychopathyNdo maana nilikua nashangaa kwa nn unashabikia upuuzi kumbe baba yako alikufumua malinda pole kijana ila sasa hao unao washabikia wanaendelea kukufokoa maana mtoto wake yule bb anawapiga sana mbupu nyinyi machawa
Na Mange,Maria Sarungi,Hilda Newton na Sativa hawa nao mbona hawakamatwi
Unaweza kuzitofautisha njia wanazotumia hao polisi na watekaji kwenye kukamata/kuteka watu?Yani kipindi hiki polisi wakikamata mtu ni kosa tayari watu wanasambaza ametekwa😅😅
Hao ni mazombi, KMKM, janjaweed watoto pendwa wa Shetani Samia chini ya jambazi mwenzake Kheri. Watakamatwa na nani?Hawa wamewakamata tayari?
View attachment 3505889
Baada ya watu kupaza sauti sana mitandaoniAngalau leo wamekuwa wepesi wa kusema wako naye!