Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Kwani nani anaichukia Serikali?Wananchi tunaipenda Serikali acha kutuchonganisha na Serikali. Hao Polisi unaowasema eti wanatoa mabomu na kuwapiga Wananchi, kwani wao ni vichaa? Iko sababu ya kufanya hivyo na inachagizwa na dharau na kiburi cha viongozi wa Chadema kutokufuata maelekezo, mbona tunawajua vizuri
Hivi unaona hicho ni kitendo sahihi kabisa?
MUNGU kama vile katususa