Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
- Thread starter
- #61
Ona mgombea mwenza wa CCM, yeye anasimama njiani kusalimiana na wananchi wakati akielekea kwenye kituo cha kampeni lakini hahesabiwi kuwa amevunja utaratibu wa kampeni na wananchi hawapigwi mabomu