Jeshi la Polisi na Serikali ya Tanzania hii siyo sawa

Jeshi la Polisi na Serikali ya Tanzania hii siyo sawa

Polisi niwaambie mpo humu na mnasoma , fanyeni kazi kwa kufuata sheria na katiba , tofautisheni amri halali na amri haramu ICC inawaita msije kusema hatukuwaambia .
 
Wanaofikia hatua hiyo maana yake wamejitoa muhanga!Wako tayari kwa lolote hata kufa!Na mtu wa namna hiyo huwa anajitahidi mpaka anakufa awe ameondoka na kundi kubwa la wale anaowalenga!
Endeleeni kujifanya jeuri,kibiti ilipaswa iwe funzo kwenu!
Sasa kama kujitoa muhanaga mbona mmekimbilia Mozambique simngebaki mmalizikie hapohapo Kibiti?
Dawa ya kiburi ni moto.
 
Si mlikuwa mnamsimanga JK kama legelege, sasa mpepata chuma. Hakuna kusalimiana ni mabomu tuu, mtaisoma namba. Bado miaka mitano ijayo, tena mshukuru Mwalimu alieka term mbili. Vyenginevyo msubiri hadi afariki 😁

..hata JK alikuwa akipiga watu mabomu.

..umesahau tukio la kuuwawa Daudi Mwangosi kule Iringa?

..umesahau jinsi wananchi wa kusini walivyopigwa na kuteswa wakati wa sakati la gesi.

..vipi kuhusu uporaji uchaguzi aliofanya Jecha? Unadhani hakuwezeshwa na JK?
 
Wananchi tunaipenda Serikali acha kutuchonganisha na Serikali. Hao Polisi unaowasema eti wanatoa mabomu na kuwapiga Wananchi, kwani wao ni vichaa? Iko sababu ya kufanya hivyo na inachagizwa na dharau na kiburi cha viongozi wa Chadema kutokufuata maelekezo, mbona tunawajua vizuri
Mtu mzima kuubishia ukweli kwa kuhalalisha vitendo vya kijinga ni upuuzi na utumwa wa kumnyenyekea shetani.Jiepushe na tabia hiyo.
 
..hata JK alikuwa akipiga watu mabomu.

..umesahau tukio la kuuwawa Daudi Mwangosi kule Iringa?

..umesahau jinsi wananchi wa kusini walivyopigwa na kuteswa wakati wa sakati la gesi.

..vipi kuhusu uporaji uchaguzi aliofanya Jecha? Unadhani hakuwezeshwa na JK?
Jecha hakupora uchaguzi, wazanzibari waliamua bora nusu shari kuliko shari kamili. Na mwaka huu wakiamua 26 wanapiga kura VIP (first class), halafu 27 pata mpatae ndio hivo tena. Naamini wazanzibari kwa umoja wao wakiamua, basi hakuna JK wala JPM kitaeleweka tuu inshallah.

Hakuna mwenye nguvu, hakuna jeshi wala polisi wazanzibari wakiamua kueka mstari hapa basi basi inshallah ndio itakuwa basi.
 
Kusema Jesha, jeshi au polisi naona kama ni excuse tuu hio. Maalim akae kimya awaache wananchi wafanye maamuzi magumu, nashauri sio wasubirie matokeo watakuwa wamechelewa tayari.

Wanatakiwa walianzishe sasa kupinga uchaguzi kufanyika siku 2. Iliwezekana vipi miaka yote isiwezekana leo kupiga kura kwa pamoja ? Tuvute subra inshallah, kama hatutaki kupigania haki kwa mikono yetu.
 
Jecha hakupora uchaguzi, wazanzibari waliamua bora nusu shari kuliko shari kamili. Na mwaka huu wakiamua 26 wanapiga kura VIP (first class), halafu 27 pata mpatae ndio hivo tena. Naamini wazanzibari kwa umoja wao wakiamua, basi hakuna JK wala JPM kitaeleweka tuu inshallah.

Hakuna mwenye nguvu, hakuna jeshi wala polisi wazanzibari wakiamua kueka mstari hapa basi basi inshallah ndio itakuwa basi.

..Na mimi nawaombea uchaguzi wa amani, na mshindi halali apatikane.
 
Wananchi tunaipenda Serikali acha kutuchonganisha na Serikali. Hao Polisi unaowasema eti wanatoa mabomu na kuwapiga Wananchi, kwani wao ni vichaa? Iko sababu ya kufanya hivyo na inachagizwa na dharau na kiburi cha viongozi wa Chadema kutokufuata maelekezo, mbona tunawajua vizuri
Tupe sababu,au kwa vile wanaosikikiza ni wale wanaopenda maneno Uhuru,haki na maendeleo.Hapo Wana kiu ya haki bada wanataka kudhulumiwa.Kumbuka kiu ya haki na Uhuru inazidi.
 
Huyu RPC wa eneo hilo nimempenda bure.
Siku atakapotiwa mbaroni nitafanya kila jitihada niwe naye gereza moja nikampe mimba ya mgongo
 
Kama mgonjwa CCM inakaribia kukata roho hata yale majigambo kuwa tumetekeleza kwa vishindo yameisha sasa wengine wanaomba kura kwa kuosha masufuria, wengine kugaragara chini na mkubwa wao kwa kupiga magoti.

Kumbuka kazi ya kusomba watu halafu wasanii wakimaliza kupiga mziki kama milango haikufungwa watu wanaondoka bila kusikiliza sera siyo dalili nzuri. Mwisho unakaribia. Mungu huwa anaruhusu jambo baya litokee ili jambo zuri lije. Watanzania tuvumilie hayo mabomu tarehe 28/10 ndiyo tutajuwana vizuri na huyo anayewatumabpolisi.
 
Katika marais wote niseme ukweli kama diaspora namshukuru sana JK, tulikuwa tunanyanyaswa sana kwenye viwanja vya ndege tukija nyumbani. Lakini alhamdulillah alipokuja JK, alibadilisha mawazo na kueka sawa viwanjani sasa angalau mtu una amani ukija nyumbani hakuna usumbufu na maofisa wa uhamiaji.

Hili nalikumbuka na tunatoa shukurani zetu kwa uhamiaji kwa kazi nzuri wanayofanya. Maana dah ilikuwa taabu kweli kweli miaka ile.
Lakini sasa katika Tanzania ya Magufuli nyie mmebatizwa makuadi wa mabeberu simply because umekwenda nje ya nchi kubangaiza, ambapo ubaingazaji wako pia unasaidia kuboresha angaa maisha ya familia yako huku huku bongoland, na hivyo kuchangia maendeleo ya watu!! Kwa mtazamo wa Magufili na Bushiri (mtazamo wa kijima), ili uoneshe uzalendo nyote mnapaswa kusuguana visogo na mabega Dar au Dodoma!
 
Wananchi tunaipenda Serikali acha kutuchonganisha na Serikali. Hao Polisi unaowasema eti wanatoa mabomu na kuwapiga Wananchi, kwani wao ni vichaa? Iko sababu ya kufanya hivyo na inachagizwa na dharau na kiburi cha viongozi wa Chadema kutokufuata maelekezo, mbona tunawajua vizuri
Viongozi wao wanajifanya kilakitu wanajua.kwa mfano juzi wale wakurya wa nyamongo waliwarushia polisi mawe ndo ikawa mwanzo wa mabomu, wao hayo hawayaoni nakukemea.wanakuja nakuonge ujinga ujinga kama vile wanaonewa.siasa za kiazamani sana
 
Si mlikuwa mnamsimanga JK kama legelege, sasa mpepata chuma. Hakuna kusalimiana ni mabomu tuu, mtaisoma namba. Bado miaka mitano ijayo, tena mshukuru Mwalimu alieka term mbili. Vyenginevyo msubiri hadi afariki 😁
Chuma uliwa na kutu tu.
 
Sasa kama kujitoa muhanaga mbona mmekimbilia Mozambique simngebaki mmalizikie hapohapo Kibiti?
Dawa ya kiburi ni moto.
Sio mimi ila hao waliofanya hayo malengo yao yalitimia!
Sasa endeleeni kupandikiza chuki,kama hao wa kibiti walitokea inamaana kuna uwezekano yakatokea tena!
 
Polisi niwaambie mpo humu na mnasoma , fanyeni kazi kwa kufuata sheria na katiba , tofautisheni amri halali na amri haramu ICC inawaita msije kusema hatukuwaambia .
Wewe ndio wa kuwaambia jinsi ya kufanya kazi? Kama sio ujinga ni nini?
 
Back
Top Bottom