Kwani nani anaichukia Serikali?Wananchi tunaipenda Serikali acha kutuchonganisha na Serikali. Hao Polisi unaowasema eti wanatoa mabomu na kuwapiga Wananchi, kwani wao ni vichaa? Iko sababu ya kufanya hivyo na inachagizwa na dharau na kiburi cha viongozi wa Chadema kutokufuata maelekezo, mbona tunawajua vizuri
Hana uwezo huo, betri ishaanza kulegea na akilazimisha sana BASI pale chato mahema yatasimamishwa na JKT.Si mlikuwa mnamsimanga JK kama legelege, sasa mpepata chuma. Hakuna kusalimiana ni mabomu tuu, mtaisoma namba. Bado miaka mitano ijayo, tena mshukuru Mwalimu alieka term mbili. Vyenginevyo msubiri hadi afariki [emoji16]
Hii clip naona imepigwa na polisi nadhani hawakuwa wanamwona. Hao wananchi ilitakiwa wachome Moto hao manyang'au ili kulinda democrasia
Wananchi tunaipenda Serikali acha kutuchonganisha na Serikali. Hao Polisi unaowasema eti wanatoa mabomu na kuwapiga Wananchi, kwani wao ni vichaa? Iko sababu ya kufanya hivyo na inachagizwa na dharau na kiburi cha viongozi wa Chadema kutokufuata maelekezo, mbona tunawajua vizuri
Kufuata maelekezo gani ? Ungesema kufuata sheria ndivyo inavyotakiwa kufanyika.
PimbiWananchi tunaipenda Serikali acha kutuchonganisha na Serikali. Hao Polisi unaowasema eti wanatoa mabomu na kuwapiga Wananchi, kwani wao ni vichaa? Iko sababu ya kufanya hivyo na inachagizwa na dharau na kiburi cha viongozi wa Chadema kutokufuata maelekezo, mbona tunawajua vizuri
Ninaamini siku inakuja hao mbwa wenu watakapo kimbia mbele ya watanzania hawahawa unaojinasibu wanauwawa kwa mapenzi ya hao wangese wabichimkiwa nyuma ya keyboard huwa mnakuwa makomandoo sana.
ukiwapa polisi sababu ya kukuua watakuua bila kuchelewa,mbinu ni kujenga hoja tu.
Pumbavu kabisa,mbona Lissu alipowapa utaratibu wa kisheria wakaelewa na mkutano ukaendelea vizuri tu?Wananchi tunaipenda Serikali acha kutuchonganisha na Serikali. Hao Polisi unaowasema eti wanatoa mabomu na kuwapiga Wananchi, kwani wao ni vichaa? Iko sababu ya kufanya hivyo na inachagizwa na dharau na kiburi cha viongozi wa Chadema kutokufuata maelekezo, mbona tunawajua vizuri
Siku wananchi wakichoka na kuacha kulalamika hakuna atakayekuwa salama!Malalamiko fc.
Kibiti mlisafishwa mkapoteana,mkijaribu tena ni kusagwa tu kama sisimizi.Siku wananchi wakichoka na kuacha kulalamika hakuna atakayekuwa salama!
Mmesahau kirahisi sana yaliyotokea kibiti!
Tunataka sasa waje kudeki vyoo vyetu.
Magufuli chuma cha Reli. Miaka ijayo hakuna kufanya kampeni tena, mpaka 2025 tutekeleze ilani yetu kwa Amani na utulivu.Si mlikuwa mnamsimanga JK kama legelege, sasa mpepata chuma. Hakuna kusalimiana ni mabomu tuu, mtaisoma namba. Bado miaka mitano ijayo, tena mshukuru Mwalimu alieka term mbili. Vyenginevyo msubiri hadi afariki 😁
Wanaofikia hatua hiyo maana yake wamejitoa muhanga!Wako tayari kwa lolote hata kufa!Na mtu wa namna hiyo huwa anajitahidi mpaka anakufa awe ameondoka na kundi kubwa la wale anaowalenga!Kibiti mlisafishwa mkapoteana,mkijaribu tena ni kusagwa tu kama sisimizi.