Lakini sasa katika Tanzania ya Magufuli nyie mmebatizwa makuadi wa mabeberu simply because umekwenda nje ya nchi kubangaiza, ambapo ubaingazaji wako pia unasaidia kuboresha angaa maisha ya familia yako huku huku bongoland, na hivyo kuchangia maendeleo ya watu!! Kwa mtazamo wa Magufili na Bushiri (mtazamo wa kijima), ili uoneshe uzalendo nyote mnapaswa kusuguana visogo na mabega Dar au Dodoma!