PreGE2025 Jeshi la Polisi Ruvuma latoa tamko kuhusu kukamatwa kwa Lissu, ni sababu ya Uchochezi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii taarifa duh😂😂😂😂
 
Ulilazimishwa kwenda? Usijiweke kwenye nafasi isiyo yako.

Mikutano ya CHADEMA ni kwa ajili ya wazalendo wa Tanzania na siyo machawa!
Mimi naitwa Chiembe, unamuongelea nani huyo anayeitwa Chawa?
 
Polisi huyu alikuwaje RPC, mbona hana uwezo kabisa!
 
Longtime tunasoma ukipata four ya 26 au 27 unapewa mchongo wa kwenda kozi ya upolisi/undata.
Hii Taarifa imenikumbusha somo la kuandika "Barua ya Kikazi" darasa la nne B. 😁
 
Tunataka polisi huru siyo hii iliyoshikiwa akili na CCM!
Your browser is not able to display this video.
 
Tunaishukuru Tanpol kwa kupigilia msatari wa kilio cha muda mrefu cha Chadema kwa Polisi kuingilia shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani ili kuisadia CCM.
 
A stooge asshole
Low IQ
Polisi unasimamia siasa au Amani?
 
Wachochezi, waropokaji na wafanya fujo wote inapaswa washughulikiwe mapema kwa mujibu wa sheria. Wao watoto wao wako ughaibuni sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Shogo vp leo ulimpata basha? Make unaongea kama umekatwa kichwa. Wewe unajua watoto wa Dr Mpango na Nchimbi wako nchi gani huko Ulaya?
 
Shogo vp leo ulimpata basha? Make unaongea kama umekatwa kichwa. Wewe unajua watoto wa Dr Mpango na Nchimbi wako nchi gani huko Ulaya?
Kama mlimtukana mwenyekiti wenu wa miaka 21 vile. Unafikiri nani atanusurika na matusi yenu? Andamaneni sasa mkamtoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…