PreGE2025 Jeshi la Polisi Ruvuma latoa tamko kuhusu kukamatwa kwa Lissu, ni sababu ya Uchochezi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu, asema Bwana wa Majeshi.
 
Polisi hawa hata kuandika barua kwa lugha nyepesi kama kiswahili wanajichanganya hivi,
Most Police officers are class 7 drop out,
The reform or Purge must start in this Police force by changing the name from POLICE FORCE TO POLICE SERVICES
 
Wachochezi, waropokaji na wafanya fujo wote inapaswa washughulikiwe mapema kwa mujibu wa sheria. Wao watoto wao wako ughaibuni sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Wafanya fuju ni wale wanaokata majina ya wapinzani ni wale wanaoiba kura ni wale wanaoteka watu,Watu wanatetea wananchi wanaotaka kusiwe na wizi wa kura wanaotaka chaguzi huru na haki wanaotaka mtu akishinda atangazwe hao eti ndiyo wana vuruga amani No reform novElection ndiyo suruisho la matendo yote hayo maovu.
 
Another rubbish from brainless police. Cursed are these satan agents and
their generations.
 
TPF
TAARIFA KWA UMMA
Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma tunaendelea vyema na majukumu ya kusimamia sheria za nchi katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao.

TAARIFA YA KUKAMATWA MWENYEKITI WA CHADEMA NDUGU, TUNDU LISSU
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu, Tundu Antipas Lissu.

Mnamo tarehe 09.04.2025 katika Mtaa wa Soko Kuu, Wilaya ya Mbinga Jeshi la Polisi lilimkamata Mwenyekiti huyo wa CHADEMA Kufuatia tuhuma zilizokuwa zinapelelezwa za kufanya uchochezi wa kutofanyika uchaguzi Mkuu 2025.

Mtuhumiwa huyo anahojiwa juu ya tuhuma hizo huko Dar-es- Salaam.

Jeshi la Polisi linatoa Onyo kwa vyama vyote vya siasa kutotoa maneno ya uchochezi, Kashfa kwa Polisi na Serikali au viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na atakaye bainika kufanya hivyo atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

Imetolewa na, Kamanda wa Polisi (M) wa Ruvuma
POLIZI NI ZERO BRAIN
 
Haya mafala tarehe 5 tu mshahara umeshaisha ila yanavyotumiwa kama toilet paper aibu! Siku yakinunua nyanya elfu 10 akili zitawakaa sawa
 
TAARIFA KWA UMMA
Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma tunaendelea vyema na majukumu ya kusimamia sheria za nchi katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao.

TAARIFA YA KUKAMATWA MWENYEKITI WA CHADEMA NDUGU, TUNDU LISSU
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu, Tundu Antipas Lissu.

Mnamo tarehe 09.04.2025 katika Mtaa wa Soko Kuu, Wilaya ya Mbinga Jeshi la Polisi lilimkamata Mwenyekiti huyo wa CHADEMA Kufuatia tuhuma zilizokuwa zinapelelezwa za kufanya uchochezi wa kutofanyika uchaguzi Mkuu 2025.

Mtuhumiwa huyo anahojiwa juu ya tuhuma hizo huko Dar-es- Salaam.

Jeshi la Polisi linatoa Onyo kwa vyama vyote vya siasa kutotoa maneno ya uchochezi, Kashfa kwa Polisi na Serikali au viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na atakaye bainika kufanya hivyo atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

Imetolewa na, Kamanda wa Polisi (M) wa Ruvuma
Duuuhhhh kweli Samia ana kazi kubwa sana kama hiyo ndiyo level ya ma- -RPC WETU😳😳😳😳
 
Back
Top Bottom