Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

Tulishasema tangu awali kwamba bila Polisi, CCM ni wepesi kuliko pamba, kauli ambayo imeendelea kudhihirika huko Shinyanga baada ya Polisi kutumia kikosi kizima kuzuia Mwamba Mbowe Kuweka jiwe la msingi tu kwenye eneo la ujenzi.

Hili lilipangwa kufanyika kabla ya vikao vya ndani vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI.

 
Labda operation njaa, mtu ambaye hajalipwa mshahara kwa miezi 6 hawezi kulinda haki yoyote
 
Jeshi hili la hovyo Sana. Wameshindwa kudhibiti majambazi Dar wanawasumbua chadema.
 
Chadema wanamchekea mama! Wekeni msimamo kuwa hamuitambui serikali ya mama kwa maana imetokana na haramu.
 
Jamani wanaiogopa CHADEMA salaalee!!

Hapo hakuna CCM imebaki dola ya Mapolisi
 
Unajua maana ya kuvamia lakini,kufika hapo wanapofanyia kikao imekuwa kuvamia
 
Polisi pambaneni na majambazi. CHADEMA watapambana na wanasiasa wenzao kina Shaka na Chongolo.View attachment 1801320
INGEKUA VIZURI CHADEMA WASISITIZE KWANZA MAZUNGUMZO NA MAMA SAMIA AMBAYO WAMEAHIDIWA. SUBIRA HUVUTA HERI. UTARATIBU ALIOACHA MWENDAZAKE KWA VYOMBO VYA DOLA KUTHIBITI VYAMA VYA SIASA BADO HAUJATENGULIWA. WANACHOFANYA NI KUJARIBU KINA CHA MAJI.
 
Huo ndo uvamizi?[emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…