Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda operation njaa, mtu ambaye hajalipwa mshahara kwa miezi 6 hawezi kulinda haki yoyoteTulishasema tangu awali kwamba bila Polisi , CCM ni wepesi kuliko pamba , kauli ambayo imeendelea kudhihirika huko Shinyanga baada ya Polisi kutumia kikosi kizima kuzuia Mwamba Mbowe Kuweka jiwe la msingi tu kwenye eneo la ujenzi .
Hili lilipangwa kufanyika kabla ya vikao vya ndani vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI .
View attachment 1801377
Sijawahi kuona polisi mzee hata siku moja,wanazeeka walimu tu.Hivi polisi wakistaafu huwa wanaenda kuishi wapi? Na majirani zao huwa kina nani maana kule kwenye makambi yao hawatakiwi tena!
...wanakwenda kuishi kwao.....Hivi polisi wakistaafu huwa wanaenda kuishi wapi? Na majirani zao huwa kina nani maana kule kwenye makambi yao hawatakiwi tena!
Wengi wanakufa kwa njaa na stress baada ya muda mfupi sana , fanya uchunguziHivi polisi wakistaafu huwa wanaenda kuishi wapi? Na majirani zao huwa kina nani maana kule kwenye makambi yao hawatakiwi tena!
INGEKUA VIZURI CHADEMA WASISITIZE KWANZA MAZUNGUMZO NA MAMA SAMIA AMBAYO WAMEAHIDIWA. SUBIRA HUVUTA HERI. UTARATIBU ALIOACHA MWENDAZAKE KWA VYOMBO VYA DOLA KUTHIBITI VYAMA VYA SIASA BADO HAUJATENGULIWA. WANACHOFANYA NI KUJARIBU KINA CHA MAJI.Polisi pambaneni na majambazi. CHADEMA watapambana na wanasiasa wenzao kina Shaka na Chongolo.View attachment 1801320
Kwa sababu Chadema ni zaidi yamajambazi. HahahahaPolisi ukiwapigia simu kuna ujambazi sehemu gari hazina mafuta. Ila CHADEMA wakija gari zote zinajazwa mafuta.
Nyumbu huwa hamueleweki kabisa. Yani watunza ulinzi na usalama wasiende kutimiza majukumu yao?.Polisi pambaneni na majambazi. CHADEMA watapambana na wanasiasa wenzao kina Shaka na Chongolo.View attachment 1801320
Huo ndo uvamizi?[emoji706]Tulishasema tangu awali kwamba bila Polisi, CCM ni wepesi kuliko pamba, kauli ambayo imeendelea kudhihirika huko Shinyanga baada ya Polisi kutumia kikosi kizima kuzuia Mwamba Mbowe Kuweka jiwe la msingi tu kwenye eneo la ujenzi.
Hili lilipangwa kufanyika kabla ya vikao vya ndani vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI.
View attachment 1801377
Na kamati mzima ya ulinzi na usalama ya mkia wapo na mkono wao hapo.Katambi anaweza kuwa nyuma ya pazia