Kufanya upelelezi wowote kwenye nchi ya kigeni ni kosa kubwa sana haijarishi unamfuatilia mwananchi wa nchi yako au la pia kitu cha kujiuliza wameingia nchini Tz kufanyakazi ya kipelelezi au la? Itaonyesha kwenye pass zao za kuingia nchini kama wame declare kumpeleleza Raila bila hivyo imekula kwao nchi zingine wanapotea kabisa!!Ujasusi wa aina gani?
Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.
Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Kama una kinga ya kidiplomasia,unaachiwa,unarudishwa kwenu,Hakuna kifo kibaya kama ukikamatwa ukifanya Ujasusi nchi nyingine haijalisha uliingia vipi.
Raila akifanyiwa ubaya kama kweli yuko huko zenji implications yake itakuwaje? Taswira ya nchi yetu itaonekanaje Kenya na ulimwenguni kwa ujumla?
Wanaahirikiana ku trail wahalifu eg magaidi, drug dealers, human traffickers... Ila sio kwa design hii ya Raila.
Security ina nyanja pana! Hasa hizi za kuhusisha siasa za kimataifa! Unaweza kutupiwa zigo la lawama hivi hivi!
Hata wakiuliwa wanaweza dai ni majambazi/watu wasiojulikana n.k. Ujasusi ni kujitoa mhanga..Hakuna kifo kibaya kama ukikamatwa ukifanya Ujasusi nchi nyingine haijalisha uliingia vipi.
sio lazima wakuuwe,Kama una kinga ya kidiplomasia,unaachiwa,unarudishwa kwenu,
Kama haukuwa na kinga,risasi za wasiojurikana,lazima zikutwange
Ni jambo baya sana lile kwa kweli...Tundu Lissu kacharangwa risasi mchana kweupe, tena katikati ya nchi ambako ni salama zaidi, na taswira ya nchi imeendelea kuwa nzuri Kenya na ulimwenguni kwa ujumla.
Suppose majausi wa Tanzania wanamfuatilia mpinzani wa serikali ya Tanzania kule Kenya wangekamatwa wangeachiwa tu waendelee na ujasusi wao au wangeachiwa waondoke zao tu?Ujasusi wa aina gani?
Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.
Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Hilo sio zuzu bali kubwajingaUnaonekana wewe ni zuzu wa kiwango cha hali ya juu sana alaf haya mambo ya security kama hujui kaa kimya tu nyie ndio wale mnaochangia kila kitu
Na nani? [emoji101]Watatrade
Labda ila sio Ujasusi.Kama una kinga ya kidiplomasia,unaachiwa,unarudishwa kwenu,
Kama haukuwa na kinga,risasi za wasiojurikana,lazima zikutwange