Tetesi: Jeshi la Polisi Tanzania linawashikilia Maafisa wa Usalama kutoka Kenya

Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Mkuu umepotoka.
Hilo jambo haliruhusiwi popote duniani,tuna mkataba na kenya wa kubadilishana watuhumiwa,hatuwezi kukubali nchi yetu kufanywa kuwa ni kichaka cha ujasusi,Raila amekuja kwa ziara binafsi,atalipa hoteli yeye na wasaidizi wake kwa nini watuharibie biashara zetu?
 
Ujasusi wa aina gani?

Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.

Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
kuna interpol mkuu au kutoa taarifa ili upewe ushirikiano na nchi husika tofauti na hapo hata kama mtu huyo ni wako kutoka nchi yako una mfatilia na akazurika nchini kwangu au nyumbani kwangu, mimi sito kuwa salama kwa kuwa nitaonekana nimeusika kwa namna yoyote na pia italeta ukakasi kuwa nchi haipo salama watu wanaweza kuja na kutenda ualifu na kuondoka bila hata mamlaka za ulinzi kufahamu...

Ndio maana wenzio wanajaribu kueleza hatari iliyopo katk masuala ya ulinzi...
 
Naweza nikawa zuzu, ila wewe ndiye Mwalimu wangu katika uzuzu.

Kwanza kajifunze jinsi ya kuandika ndipo uje kuni-quote.

Jifunze kuandika kisha uje useme juu ya maswala haya.

Punguani Waheed.
Chukulia jambo Omar Al-bashir alipo enda Uganda... jinsi ilivyo tokea kwa mwenyeji wake kumpa ulinzi wa kutosha ili isije tokea akapata shida akiwa ktk nchi yake, maana Uganda wangeusishwa moja kwa moja na Sudani na washirika wake wasingeweza kuiamini Uganda ktk suala hilo/usika
 
Huu uzi kila mwana usalama ana lake sasa sijui nishike ipi niache ipi

Wewe shika Taarifa ilivyo Mkuu ,inawezekana ktk Taarifa kinacho fikishwa kwa Wananchi sivyo kilivyo ktk uhalisia..

Kila kitu kinawezekana..
 


Uhuru Kenyatta ni boya anaweza akatuma watu direct.

Unaelewa kuwa Uhuru aliwatukana majaji kama kweli ana akili hakupaswa kufanya vile tena mbele ya media!

Kwa kauli zile hadi kesho siku ikitokea jaji yeyote akapata tatizo kwa nini tusiseme kuwa NIS ya Kenya imefanya yao!?
 
Hawana Pasport?Kwani ukiwa usalama huruhusiwi kusafiri?
 
Naweza nikawa zuzu, ila wewe ndiye Mwalimu wangu katika uzuzu.

Kwanza kajifunze jinsi ya kuandika ndipo uje kuni-quote.

Jifunze kuandika kisha uje useme juu ya maswala haya.

Punguani Waheed.

Ustaarabu sio tu kukiri kutokuwa na ufahamu wa jambo fulani, lakini pia na matumizi mazuri ya lugha/kauli! Kukaa kimya kunaficha ujinga wa mtu!
 
Hawana Pasport?Kwani ukiwa usalama huruhusiwi kusafiri?
Unaruhusiwa ila askari wana taratibu zao za clearance za kusafiri .Nchi husika hutakiwa kutaarifiwa kiofisi kuwa kuna askari anaingia kwao nk Kila askari kusafiri lazima katika masharti mmojawapo hutakiwa kuwa na kitu kinaitwa movement order ambayo huwa lazima aionyeshe mamlaka husika
 
Pole sana kaa kimya kama hujui diplomasia, huwezi ukaingia kweye nchi nyingine ukafanya upelelezi kisa unamtafuta mtu kutoka nchi yako bila makubaliano maalumu na hiyo nchi, kaa kimya usituvurugie nchi yetu kimataifa
 
Mkuu acha ku argue na watu wavivu wakufikiria lkn wanaojifanya wajuzi wa mambo, ukishaitwa jasusi wee ni mhalifu tena unaetakiwa kufa hakunaga mjadala kwenye hilo
sorry ila jasusi yoyoye yule ikithibitika atashughulikiwa na sheria za usalama wa nchi na sio kuwauwa hovyo

bado kuwakuta na hatia ni ngumu sabab wanakuja chini ya kivuli flani lyk walimu madocta wafanya biashara nk..

sabab inakua ngumu kuwakuta na hatia ndio maana somtyms wanafukuzwa kwe nchi husika
 
kwanza uhuru anaeza akawa hajui maana spy master haamui njia za kutumia(kuna wataalam wamemzunguka)

kukusanya tariifa ni wajibu wao na wanavozipa ni siri yao kwa matumizi yao
 
Aliwatukanaje mkuu tupe hata nukuu yake tuone matusi yake.
 

..lakini serekali ya Kenya would rather have Raila dead.

..kwa hiyo akifia huku Tanzania serekali ya Kenya watapumua.
 
Kama ni kweli sheria ichukue mkondo wake. Kwa nini wamfuatilie BABA.
 
Ujasusi wa aina gani?

Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.

Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
"Surveillaince and Espionage"

ndani ya nchi ya mwenzako bila ya kujari una mjasusi nani si jambo dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…