Tetesi: Jeshi la Polisi Tanzania linawashikilia Maafisa wa Usalama kutoka Kenya

Wazanzibar tupo Makini kuliko Wabara
 
..lakini serekali ya Kenya would rather have Raila dead.

..kwa hiyo akifia huku Tanzania serekali ya Kenya watapumua.
I don't know what you're talking about!

Wakenya wafanye yao huko Kenya na wakenya wenzao!
 

Duh haya nayo mkuu ni Maajabu. Wasojuljkana toka Kenya wanaweza kukamatwa lakini wasiojulikana wa humu humu Tanzania imeshindikana kuwakamata.
 
Naweza nikawa zuzu, ila wewe ndiye Mwalimu wangu katika uzuzu.

Kwanza kajifunze jinsi ya kuandika ndipo uje kuni-quote.

Jifunze kuandika kisha uje useme juu ya maswala haya.

Punguani Waheed.
Hehehe mtu na mwl wake. Sijui nani anamjua zaidi mwenzake Mwalimu au mwanafunzi?
 
Ujasusi wa aina gani?

Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.

Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Kama umefuata utaratibu kwanini wakamatwe? Hii ina maana unafanyq ujasusi hapa nchini. Ipo adhabu
 
Ujasusi wa aina gani?

Kama ni ujasusi wa kuifatilia nchi husika, then hapo nakubaliana nawe.

Lakini kama ni Ujasusi wa kumfatilia mtu(kwa kufuata utaratibu) anayeonekana kuwa tishio kwa nchi nyingine, hapo hakuna baya.
Iliwapasa watoe maarifa kwa mamlaka wapewe kibali. Siyo hovyo hovyo tu.
 
Sio lazima uchangie, wewe soma post za wenzio utaelimika!!
Kachangia nini wakati kauliza swali?

Ungemjibu kama hapa chini ungepungukiwa nini?

Wana usalama mna mambo
 
Na usijekuta Raila akipata tatizo akiwa nchini wa kwanza kalaumu ni haohao serikali ya Kenya.
 
Kwani hao deep covers agents toka ndani ya balozi huwa wanagundulika sometimes ndio maana hata nchi inaweza kumtimua afisa wa ubalozi, balozi mwenyewe au hata kuufunga ubalozi endapo Itabainika unajihusisha na shughuri za kajasusi.
 
Mixed grill.
 
Tatizo wengi hawajui tofauti ya utendaji ktk duru za kiusalama wa kidiplomasia baina ya mataifa kati ya upelelezi wa kihalifu kupitia vyombo kama Interpol nk na hiki tunachojadili hapa yaani ujasusi.
 
warwanda hawakamatwi coz nasikia wako hadi ikulu
 
Tumeanza Kukamata Vifaranga tukapiga Moto Vyote

Tumekamata Ngo'mbe Tukawapiga Bei Wote

Sasa Hivi Tumekamata KSC ..Adhabu Gani Sijui tuwape!!

Mwisho Tunamkamata Odinga Tunamaliza Game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…