Punguza wivu mbona ombaomba wanawachangisha kila siku mjini na mmechomekea midomo
Typical Tanzanian.... Yaani hapo huelewi huambiwi na husikilizi.
Wivu wa Nini???? Iko timamu kweli????
Unajua Sheria inayohusiana na maafa na inavyosema???? Au unakutupuka..........
Waziri mkuu umemsikiliza????Umemuelewa???? Hili ni janga la Taifa sio la ukoo wenu. Likitokea huko kwenye ukoo wenu Tumieni Sheria za ukoo ila kwa hili hapana....
Kamati ya maafa ipo na idara zake na mfuko wake. Kuchanga Tena kwanini. .
Sampuli yenu ndio akija Mr vanilla ambaye ndiye manguruwe mpo, Mr kuku mpo, forex mpo,... Yaani mnapigwa kila upande.
Sasa Mimi nimuonee wivu mtu anayetumia utupu wake kunyanyuka??????
Na pia sio lazima wote tuwaze kitu kimoja... Mimi ninakataa we kubali kisha pita hivi....
 
We hujui wewe. Tulia kama maji ya mtungi.
Hizo taasisi za kidini unazoongelea ndio mlango mkuu wa money laundering Tanzania na kwinginepo.
Pamoja na watu wanaofumuka kama uyoga kama huyo Binti. Binti mdogo pesa haijulikani imekuaje.
Mfano ni huu Mangi, mnatoa sadaka(Zina audit ya serikali)???? So mapapa wa mafisadi na wezi wanatoa sadaka na michango mikubwa then kesho na keshokutwa akaunti ya kanisa inatumika kununua kiwanja au mali ya aina yeyote alafu mwisho wa siku mnufaika na mmiliki anakuwa yule papa ambaye ni mafia.... Yaani hivyo...
Haya Binti kama huyu unayemtetea anaanzisha michango na inajaa kwa haraka sana mara 1m mara 5m mara 15m ,mara 30m papa mara 50m na angeendelea ingefika labda 400m... Hapo hao mafisadi na wezi na Wala rushwa wa serikali Sasa wanasafisha hela zao kwa kumtumia Fulani we tuma 2m, wewe tuma 5m, mwingine tuma 1m... Ni slow process but sure
Then huyu Binti anaenda kwenye duka la mmoja wa Hawa mapapa ananunua mahitaji hayo Then boom the money is clean and it can go to bank au ikahusika kwenye other legal transactions.....
Hivyo hivyo kwenye hayo ma mall anafungua... Ni kupitisha hela Chafu TU..
SASA UKIWA UNAWAZA KAMA WALE.... HUWEZI KUJUA HAYA...
 
Kwa hiyo watamshitaki kwa kosa gani? Na kwa vifungu gani?
 
Acha wivu ukizeeka utakua mchawi
 
Mkitapeliw kama alivyofanya manguruwe mnapiga kelele
hiyo ni kazi ya serikali na kuna mfuko wa maafa na kitengo kipo chini ya waziri mkuu
Thats money laundering
Why namba ya kuchangia......!! V8 mpya maafa msaada💔
 
Wee mlongo Niffer alipata div 1.7 shule gani alisoma?
Umenstua ujue? Lol
 
Wewe inaonekana ni taahira, hivi mtu akutwe amebeba mali isiyo yake anatembea nayo bila ruhusa ya wahusika (kamati ya maafa) halafu useme alikuwa anawapeleka wala alikuwa haibi, si kila mtu atakuwa mwizi, akikamatwa anasema nilikuwa na kushikia tu?

Utakatishaji pesa wewe ndio huelewi. Mtu akifanya vitendo vinavyoweza kutoa mwanya wa kupitisha pesa haramu tayari hiyo ni money laundering, maana hapo angeweza kutumiwa hata milioni 100 na wayza madawa ya kukevya, kisha akawarudishia kwa kisingizio cha kuwapa msaada wa wahanga na akabaki na comission, hapo pesa chafu inakuwa imesafishwa.

Huyo ni mhalifu kama wahalifu wengine..
 
Watu naona wamekasilika sana hizo ni dalili za masikini , ila sio mtz wa kwanza kutenda kosa kuna waliohusishwa hadi na mauaji today wako wanapeta mjini hivyo ngoja muone na kwake pia
 
Mzee Maja angetumia busara tu yaan kuna vitu vingine, hapo ni sawa na Baba mwanae kachukua mswaki wake chumbani mmoja akamsanua akaagiza beki 3 popote utapomuona Jeni mkate hivi Anord Swazniga kwenye ile movie mboni alikua anampenda sana Jeni?
 
Watu naona wamekasilika sana hizo ni dalili za masikini , ila sio mtz wa kwanza kutenda kosa kuna waliohusishwa hadi na mauaji today wako wanapeta mjini hivyo ngoja muone na kwake pia
Binti huyo hana makosa wamuache tuendelee kumpa michongo yetu mboni Steve Mengele hua hawamkamati kila akichangisha michongo kwenye maafa ya vifo vya wale? Huyu yeye wafanyabishara wenzake anakusanya michongo mboni wanamkata? Hivi Mzee Maja alituliza ubongo kabla au
 
Kwenye maafa kama haya siyo busara watu wachangishe bila kibali maalum. Huyu kwanza anaonyesha ni mjanja janja na anaweza kupiga hiyo michango.
Babu sio busara nini wewe mtaani huku mtu akifa tunatembeza daftari nyumba hadi nyumba mwenye 50,100,200,500 mpaka 1000 tunajichanga msiba usitudodee mkuu sasa hapo ni katika kuendeleza desturi wewe wa wapi mkuu? Sawa Serikali imesema itagharamia kila kitu ila kabla haikusema kua itagharamia kila na huyo binti alishaanza process za kukusanya rambirambi za walikwisha kufa na wengine waliopata majeruhi nyie kwenu hamkusanyi rambirambi kwenye kidaftari? Hujawahi kutembeza kidaftari wakati wa msiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…