Inasikitisha sana
 
Basi nilijua ni wewe.
 
Kabisa..
Niffer anawaumiza akili sana..
Kama Resty ndiyo atawehuka sababu yake..

Akifikiria Niffer amemkuta kwenya Biashara na anafanya makubwa zaidi yake ndiyo anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kubwa jinga
 
Wampe mafunzo yaishe, hata waliochanga hawakujua ni kosa.

Sasa ziwekwe pembeni, naamini mfuko wa serikalini wengi wanasema ndio wanaogopa kuchangia. Labda wasaka connections na kiki
 
Kisheria ni money laundering sema watanzania tuna ubinaadamu anaweza kuonywa akaachiwa,ila wakimkomalia no haina dhamana ,atulize kiherehere kwenye mambo ya kitaifa
Hao viongozi wa serikali wenyewe wanataka ulaji vilevile wao na huyo Niffer wako njia moja
 
Mimi ninavyojua msiba hauna mwaliko. Wanasiasa wanataka kuteka tukio la kkoo ili waonekana wao peke yao ndio msaada. Wanasiasa watu wa ajabu sana. Yaani hakuna kitu wanasiasa wanapata hofu kama kuona (hata kama sio kweli) mtu mwingine nje ya circle yao anapata sifa zaidi yao.
 
Pm ana jaribu kufanya spining. Yeye ni kiongozi wa waokoaji. Ajikite kwenye kuokoa maisha ya watu hayo mambo ya michango waachiwe polisi! Kwani yanaibiwa mabilion mangapi huko serikalini? Mbona hawahamaki na kuchukia hatua????
Kama Serikali inayojitapa kuhusika kwenye majanga ingejipanga tangu mwanzo kuwa na kitengo cha maafa chenye kila miundombinu na rasilimali fedha kwa maana ya bajeti kiasi hicho, siku ileile asubuhi tungeona jinsi kazi ya uokozi inavyofanyika kwa ufanisi.

Badala yake masaa kibao na siku kadhaa yalipita bila msaada, kwa hiyo watu wangekaa tu kushuhudia?

Wapo walioamua kuchangisha angalau maji, wapo walioamua kutumia nguvu zao kupenya kwenye kifusi, na kuhatarisha maisha yao.
Kama huyo binti aliamua kuchangisha iwe kwa nia njema au ovu katika mazingira yale wakati Serikali ikiendelea na maigizo ....
Sioni kosa lake binti huyo. Zaidi sana ni kujikosha kwa Serikali kwa kutafuta mbuzi wa kafara.....Kwa mara nyingine PM ameniangusha sana, hawezi kupata kura yangu kamwe.
 
Protocols nifah ndio tatizo..
Wajina wako analo huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…