Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Inasikitisha sanaTaifa tumefika hapa kweli! Tunawafundisha nini watoto wetu kwakweli?
Nifah ni nani kwenye taifa hili, amefanya nini ambacho kinatutambulisha kama taifa kiasi cha kawafanya vijana watamani kufika alipofika huyo mtu, kaandika kitabu gani ambacho vizazi vijavyo vitajifunza kupitia nacho!
CCM laana hii mtaibeba nyie na vizazi vyenu! Nilikuwa sijuhi kwanini kuanzia huku ngazi za chini Hadi taifa watu wenye weredi, wabunifu, wenye maono huwa hawapewi nafasi na huwa hawapedwi!