Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
We jichanganye ujute 😂Haniwezi kwa lolote..
Muite🤣
Ntamuita haji mwenye atakuja na Lulu spea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jichanganye ujute 😂Haniwezi kwa lolote..
Muite🤣
Pm ana jaribu kufanya spining. Yeye ni kiongozi wa waokoaji. Ajikite kwenye kuokoa maisha ya watu hayo mambo ya michango waachiwe polisi! Kwani yanaibiwa mabilion mangapi huko serikalini? Mbona hawahamaki na kuchukia hatua????Viherehere kwenye mitandao sio kitu kizuri.
Hata hivyo hatua zimechelewa kuchukuliwa. Sijui jeshi letu ni wazee sana wamejazana huko hadi wanashindwa ku ‘catch up’ na mambo ya kwenye mitandao upesi?
Mtu ameshakusanya mamilioni ya pesa tokea jana na alitangaza kila hatua wao walikuwa wapi?
Muite....We jichanganye ujute 😂
Ntamuita haji mwenye atakuja na Lulu spea
😂 nmekuonea huruma usije ukapata dipresheni bure kama AtotoMuite....
Kama hajaishia kuingia Live na jua hili🤣
Na ninyi wanawake huwa mna mihemko sana 😂😂, pale polisi kasema washamdaka yeye huko alipo anakanusha vikali na maneno yenu ya usuper woman.We unaambiwa PM katoa maagizo unaleta mambo ya wakili.
Hapana tuwaombee tu wahanga wa kariakooWewe muite uone show🤣🤣🤣
Atulize komwe asijibizane na mtu huko social media.Hakutakuwa na kesi ataachiwa ila itakuwa funzo mambo ya serikali achia serikali hii sio tabia nzuri kuchangisha katika masuala ya kitaifa lazima kuwe na muongozo, wewe changisha harusi au msiba ya mitaani hata huko wanaweka utaratibu sio kila mtu anakusanya. Hii inazuia watu wenye nia ovu kuiba pesa. Hapa itabidi tu ahamishe kila cent iliyochangishwa kwenye mfuko wa serikali au zirudishwe zilikotoka.
Kinachouma zile pesa najua hazitawafikia walengwa pindi zikiingizwa kwenye mikono ya wachumia tumbooViherehere kwenye mitandao sio kitu kizuri.
Hata hivyo hatua zimechelewa kuchukuliwa. Sijui jeshi letu ni wazee sana wamejazana huko hadi wanashindwa ku ‘catch up’ na mambo ya kwenye mitandao upesi?
Mtu ameshakusanya mamilioni ya pesa tokea jana na alitangaza kila hatua wao walikuwa wapi?
Kama unahisi Kuna jeshi pole sana kile ni kikundi Cha wahuni waliojificha kwenye kichaka Cha uniform.Viherehere kwenye mitandao sio kitu kizuri.
Hata hivyo hatua zimechelewa kuchukuliwa. Sijui jeshi letu ni wazee sana wamejazana huko hadi wanashindwa ku ‘catch up’ na mambo ya kwenye mitandao upesi?
Mtu ameshakusanya mamilioni ya pesa tokea jana na alitangaza kila hatua wao walikuwa wapi?
Na huko ndo zinaenda kuliwa sasaHakutakuwa na kesi ataachiwa ila itakuwa funzo mambo ya serikali achia serikali hii sio tabia nzuri kuchangisha katika masuala ya kitaifa lazima kuwe na muongozo, wewe changisha harusi au msiba ya mitaani hata huko wanaweka utaratibu sio kila mtu anakusanya. Hii inazuia watu wenye nia ovu kuiba pesa. Hapa itabidi tu ahamishe kila cent iliyochangishwa kwenye mfuko wa serikali au zirudishwe zilikotoka.
Ila resty ana chuki mpk shetani anaogopa demu ana roho kubwa mnoo yuleKwa hiyo kauli ya PM Resty atakuwa amefurahi sana...