Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Huyo aliyeagiza mchangishaji akamatwe ndio tapeli na muongo namba moja aliwadanganya watu Magufuli yuko imara anasoma mafile kumbe ameshajifia Mzena.

2021 alitumia kodi za wananchi kuunda tume ya kuchunguza tukio la moto hapo hapo Kariakoo leo hii ni miaka 3 tume haijawahi kuleta matokeo ya uchunguzi wake.

Polisi nao kwakuwa ni division four yakipigiwa mluzi kama mbwa hayo yashaenda kukamata.
 
Viherehere kwenye mitandao sio kitu kizuri.

Hata hivyo hatua zimechelewa kuchukuliwa. Sijui jeshi letu ni wazee sana wamejazana huko hadi wanashindwa ku ‘catch up’ na mambo ya kwenye mitandao upesi?

Mtu ameshakusanya mamilioni ya pesa tokea jana na alitangaza kila hatua wao walikuwa wapi?
Nikajua ni wewe aisee kumbe ni mwingine.
 
Viherehere kwenye mitandao sio kitu kizuri.

Hata hivyo hatua zimechelewa kuchukuliwa. Sijui jeshi letu ni wazee sana wamejazana huko hadi wanashindwa ku ‘catch up’ na mambo ya kwenye mitandao upesi?

Mtu ameshakusanya mamilioni ya pesa tokea jana na alitangaza kila hatua wao walikuwa wapi?
Nchi Iko Autopilot hii.... Yaani inajiendea TU. Kwanza inatakiwa kuwe na taratibu za kisheria mtu afate ndio apewe kibali Cha kuchangisha watanzania.
Hawa watoto wanatumika kusafisha fedha Chafu za mafisadi papa na wezi hiyo inajulikana...
Mtu anatangaza TU watu wamchangie mara milioni 5, 15, 30,50M chap chap. Huoni hapo wanataka kupitisha mahela yao machafu na hivi serikali imetangaza kubadilisha noti. Watu wanataka hela walizofukia ziingize kwenye mfumo. Ndio maana na huyo mtoto anafungua mall huko Dom. Ni money laundering.....
Na watanzania msipende kuibiwa. Vitu kama hivi jitahidini kuwatafuta wahusika wa ajali wenyewe watumieni hela au washikeni mkono. Sio mnaambiwa mnatuma TU kama mazuzu....
 
Ila Resty nimemfahamu via insta na business zake nyingi tuu plus kula Bata mbona sikuona wakimpga vita Ila kwa dogo Niffer anapitia mengi kwa huyo bi. Dada
Amesahau alipoanza kuuza vipodozi..kina Director Joan walikuwa Maguru lakini hawakumuandama...
Leo yeye kila siku kumuandama Niffer sababu anafanya vizuri kumzidi...

Sasa si ni Ugonjwa wa akili huo
 
Hebu nisaidie,hivi Resty kale kaduna kake ka vipodozi ndio kanampaga maisha yotee au ana uwekezaji mwingine ukiachana na ule wa samaki Thomas uliokufa?
Kabla sijafika dukani kwake nilikuwa nahisi ana bonge la fremu kama Wedding Lydia ila nikakuta kachumba size ya choo cha uswahilini😂😂😂 ndio Resty Cosmetics.

Niliondoka na maswali mengi sana
 
Baada ya serikali kuboronga ktk zoezi la kuokoa waliofukiwa na ghorofa, sasa naona inatafuta "nitoke vipi" kwa kumkalia kooni Niffer.

Niffer alikuwa na dhamira njema, badala ya kumsulubu kilichotakiwa ni kumpa muongozo wa namna ya kuendesha zoezi lake la kukusanya michango. Ama kama serikali inaona yenyewe ndiyo yenye haki pekee basi imkataze tu.


Kuchangishana ktk maafa hakujaanza leo. Ni vikundi vingapi vilipeleka misaada kule Hanang na Kagera? Mnajua hiyo misaada ya hivyo vikundi ilipatikana vipi? Sasa kama ilipatikana kwa njia ya kuchangishana, cha ajabu ni kipi kwa Niffer?

Badala ya serikali kuwaomba radhi watanzania kwa uzembe wa kushindwa kuokoa waliofukiwa kwa wakati, inageuza kibao kwa Niffer aliyekuwa na dhamira njema.
Lengo ni ili ionekane imefanya kazi fulani, wakati imeshindwa kufanya kazi yake ya msingi.

Aibu naona mimi.
 
Kabla sijafika dukani kwake nilikuwa nahisi ana bonge la fremu kama Wedding Lydia ila nikakuta kachumba size ya choo cha uswahilini😂😂😂 ndio Resty Cosmetics.

Niliondoka na maswali mengi sana
Hawa wadada wa mjini ukiwafuatilia kuna vitu vingine gizani wanafanya ambavyo vinawapa pesa, hivyo vipodozi ni zuga tu, si unakumbuka kuna yule mwingine alikuwa anawaambia wenzake ana kibubu kila siku anaweka milioni moja kama akiba, leo yupo jela maisha kwa ngada
 
Back
Top Bottom