How do you justify kidnapping and torture of another human being kwasababu hawakushiriki kuikomboa Africa?Hatuna haja ya kujibizana na claut chasers wa Kenya. Ya nini kuwapa attention? First of Kenyans never like us. Kila siku ni kutusema vibaya na kutudharau.
Second, ni wanaafiki wakubwa. Wakati Tanzania ilikuwa mstari wa mbele kuiokomboa Afrika, wakenya walikuwa wapi? Mi wao ndio walikuwa marafiki wa mabeberu na wabaguzi wa Afrika Kusini, au wanafikiri hatujui hili?
Leo waje kwetu na kiherehere, piga virungu tu
How do you justify kidnapping and torture of another human being kwasababu hawakushiriki kuikomboa Africa?
What is the essence of trying to liberate others and at the same time unakubali nchi yako kuwateka na kutesa hao hao waafrika?
Kuna international laws and agreements kwenye masuala mbali mbali. Kwani walishindwa kuwa deport kama utaratibu unavyotaka? Mbona Martha Karua alikuwa deported kwa utaratibu na haikuwa issue kubwa?
So waliwaona Mwangi na Agather ni vidagaa tu ndio maana wakaamua kuwaumiza kwanza? Unafikiri wangefanya hivyo kwa Karua au Willy Mutunga hiyo backlash ingekuwaje?
Tusichague binadamu wa kuwafanyia ubaya. Tufuate misingi ya sheria na haki za binadamu.
Ni Kwa vipi vyombo vya usalama kutoka Tanzania vinaweza kuingia nchi zingine Kwa km kadhaa na kutelekeza raia wa nchi hiyo mwenye majeraha ya matesoHow do you justify kidnapping and torture of another human being kwasababu hawakushiriki kuikomboa Africa?
What is the essence of trying to liberate others and at the same time unakubali nchi yako kuwateka na kutesa hao hao waafrika?
Kuna international laws and agreements kwenye masuala mbali mbali. Kwani walishindwa kuwa deport kama utaratibu unavyotaka? Mbona Martha Karua alikuwa deported kwa utaratibu na haikuwa issue kubwa?
So waliwaona Mwangi na Agather ni vidagaa tu ndio maana wakaamua kuwaumiza kwanza? Unafikiri wangefanya hivyo kwa Karua au Willy Mutunga hiyo backlash ingekuwaje?
Tusichague binadamu wa kuwafanyia ubaya. Tufuate misingi ya sheria na haki za binadamu.
We unasemea kizazi Gani? Wewe Babu zako waliyofanya ndiyo unayofanya?Hakuna haja ya kujibizana na claut chasers wa Kenya. Ya nini kuwapa attention? First of all Kenyans never like us. Kila siku ni kutusema vibaya na kutudharau.
Second, ni wanaafiki wakubwa. Wakati Tanzania ilikuwa mstari wa mbele kuiokomboa Afrika, wakenya walikuwa wapi? Ni wao ndio walikuwa marafiki wa mabeberu na wabaguzi wa Afrika Kusini, au wanafikiri Dunia imesahau?
Leo waje kwetu na kiherehere, piga virungu tu
We unasemea kizazi Gani? Wewe Babu zako waliyofanya ndiyo unayofanya?
Naamini watajifunza huyo wauganda kwanini asimtetee bob na kizibegye washukuru ni mama kama wagefanya kipindi benjemini au jk au jpm wangefurahi
Una duka Kariakoo??Maswala ya kiitelejinsia mimi na wewe hatujui, lakini kama ni kidnapping and torture ilitumika nitalaani kiunaafiki lakini moyoni nawapongeza wazee wa kazi, kwasababu to put this mf on their place inabidi kichapo kitembee wakiachwa watakuja kutuvunjia maduka Kariakoo. Tanzania hatuna siasa hizo
Una duka Kariakoo??
hakuna aiseeee, hawa mbwa wanakuaga na mwisho mbaya sana sanaNawaonea huruma hao wanaoshiriki kwenye hayo mauaji,utesaji nk Ufunuo 13:10 Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu.Mwanzo 4:15 Bwana akamwambia ,kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua kaini atalipizwa kisasi mara saba>>>>>.Wasubiri kisasi juu ya Mungu.Huwa najiuliza ,angalia watoto wa Nyerere ,wako hovyo hovyo tu .Nonyeshe mtoto wa askari polisi mwenye maisha ya kawaida tu ,ujue Baba au Mama yake alikuwa mcha Mungu.
Seems like kuna connections kati ya hawa wazandiki.Ni Kwa vipi vyombo vya usalama kutoka Tanzania vinaweza kuingia nchi zingine Kwa km kadhaa na kutelekeza raia wa nchi hiyo mwenye majeraha ya mateso
Unalaumu kinafki? Hujui impact yake? Huwezi kuwa salama ukifanya haya mambo. You just expose yourself to more criticism and sanctions.Maswala ya kiitelejinsia mimi na wewe hatujui, lakini kama ni kidnapping and torture ilitumika nitalaani kiunaafiki lakini moyoni nawapongeza wazee wa kazi, kwasababu to put this mf on their place inabidi kichapo kitembee wakiachwa watakuja kutuvunjia maduka Kariakoo. Tanzania hatuna siasa hizo
Acha wawafunze maana wanajiona wao ni the best kumbe ni wajinga tuThis is serious, ukishazoea kuuwa unataka kuwa international, wamempoteza mdude na wengine wengi, hawajaridhika, naona sasa wameenda KIMATAIFA, hongera sana