Myika na bony wanawatuma vijana wablock gari then wanamtia pingu na kutokomea nayeHuyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Chadema si wanajifanya kichwa ngumu,si wanataka kuandamana??Serikali ya Samaki kipaumbele chake ni Chadema.
Shughulikieni changamoto zinazowakabili wananchi.
Ukamataji huu wa viongozi wa vyama vya upinzani ulianza enzi za dikteta Magufuli na unaendelezwa na Samia hii haikubaliki, she must go!Nenda kashitaki kwa Maaskofu au nenda kituoni kamwekee dhamana.
Hapa JF hakuna atakaekusikiliza.
Ha ha ha 😂 😂Urushe ngumi si ndo unawapa sababu ya kukuchakaza kwamba unemshambulia afisa wa usalama....kuna maisha ukishayachagua basi kubali na consequences zake pia....Big ni mmoja wa watu waliokuwa na kauli ngumu sana....wacha tuone makosa anayotuhumiwa nayo
Alishirikiana nao kwenye hiyo jinai anazotuhumiwa nazo?!Sawa,ila Mkuu na wale MAASKOFU wangechukuliwa wakatoe ushirikiano.
Inaonyesha siasa umeijua kipindi cha magufuli!Ukamataji huu wa viongozi wa vyama vya upinzani ulianza enzi za dikteta Magufuli na unaendelezwa na Samia hii haikubaliki, she must go!
anHa ha ha 😂
Big mwili Mkubwa kumbe ni WA chips mayai tuh.
Boni yai miyeyusho SANA
Eti she must go,wenzenu GenZ wa Kenya harakati hizo walizifanya wenyewe bila kuwahusisha wanasiasa,sasa nyinyi mlivyo mafala maandamano HADI awatangazie Mbowe??we umeskia wapi?Ukamataji huu wa viongozi wa vyama vya upinzani ulianza enzi za dikteta Magufuli na unaendelezwa na Samia hii haikubaliki, she must go!
Mbona makosa hayatatajwa,mwenye kuyajua ayataje tafadhali.Makosa ya jinai ndio yapi hayo? Wekeni hadharani
Sawa sawa.Hapo sawa
Tunaitaka kama hivi
Mtu akamatwe na police Kwa tuhuma zozote
Na awe salama a
Atajibu tuhuma hizo mahakamani
Ndugu inaonekana kwako suala usalama nchi yako unaliona mikononi mwa polisi tuu.Hiv hujiulz hiyo kamata kamata,teka teka na potea potea ya watu inaacha makovu kias gan kwa raia!??.Unajua kwamb taifa lina watu wangap waliokata tamaa!?,majobless!?walio umizwa na dola!?...kikubwa nkwamba tuombe saana Jeshi la polisi liendelee kuaminika na watz kama ilvyo JWTZ.Kamata kamata inaleta uoga na sio kuaminika sas hilo linatengeneza chuki na dharau kwa jeshi huska.Police na hao Maaskofu wachochezi vip.?,kauli zao zimesikika...chukueni na hao.
Ha ha 😂 😂BJ anahusika mauaji ya yule mzee
Walitapeliana biashara ya mayai
Intelijensia ya Tanzania ipo juu sana
Jibu swali, usijenge swali bila majibu.Unafikiri kwa nini hujakamatwa wewe
USSR
Unaielewa katiba ya nchi vizuri kuhusu haki ya kuandamana.Chadema si wanajifanya kichwa ngumu,si wanataka kuandamana??
Sasa wameanza kuandamishwa wao kwanza mapema tuh.
Sema jamaa mpotoshaji kinouma kila kitu yeye anajua lazima a qoute huyu mbwa wacha akae ndani mpaka mwakani uchaguzi uisheWatayapata baadaye