Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Nenda kashitaki kwa Maaskofu au nenda kituoni kamwekee dhamana.

Hapa JF hakuna atakaekusikiliza.
Ukamataji huu wa viongozi wa vyama vya upinzani ulianza enzi za dikteta Magufuli na unaendelezwa na Samia hii haikubaliki, she must go!
 
Urushe ngumi si ndo unawapa sababu ya kukuchakaza kwamba unemshambulia afisa wa usalama....kuna maisha ukishayachagua basi kubali na consequences zake pia....Big ni mmoja wa watu waliokuwa na kauli ngumu sana....wacha tuone makosa anayotuhumiwa nayo
Ha ha ha 😂 😂

Chadema badala ya kwenda kumwekea dhamana eti wanatangaza katekwa,siasa hizi hatari sana.
 
Ukamataji huu wa viongozi wa vyama vya upinzani ulianza enzi za dikteta Magufuli na unaendelezwa na Samia hii haikubaliki, she must go!
Eti she must go,wenzenu GenZ wa Kenya harakati hizo walizifanya wenyewe bila kuwahusisha wanasiasa,sasa nyinyi mlivyo mafala maandamano HADI awatangazie Mbowe??we umeskia wapi?

Ukienda hapo unakula virungu kwa kigezo umevamia mambo ya kisiasa.
 
Police na hao Maaskofu wachochezi vip.?,kauli zao zimesikika...chukueni na hao.
Ndugu inaonekana kwako suala usalama nchi yako unaliona mikononi mwa polisi tuu.Hiv hujiulz hiyo kamata kamata,teka teka na potea potea ya watu inaacha makovu kias gan kwa raia!??.Unajua kwamb taifa lina watu wangap waliokata tamaa!?,majobless!?walio umizwa na dola!?...kikubwa nkwamba tuombe saana Jeshi la polisi liendelee kuaminika na watz kama ilvyo JWTZ.Kamata kamata inaleta uoga na sio kuaminika sas hilo linatengeneza chuki na dharau kwa jeshi huska.
Matumiz ya nguvu yawe lazma pale inapobid yasiwe fashion bnadam sio ng'ombe akitokwa na ubindam wake kinakuwa kiumbe kingne.

WANANCHI WOTE+WANASAIASA+JESHI LA POLISI TUNALUGHA MOJA NA SIS SIO MAADUI HATA KIDOGO. Viva UMOJA TZ ya JANA,LEO NA KESHO.
 
Back
Top Bottom