Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Acha ukhuluku tabu š¤£Wewe itakua umeshalawitiwa sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ukhuluku tabu š¤£Wewe itakua umeshalawitiwa sio bure
....makhuluku tabu wameandaliwa sheria za tabu....Tarehe 23 September 2024 tumeongezewa sababu ya ziada kujitokeza kwa wingi jijini Dar es Salaam
Umeshalawitiwa weweAcha ukhuluku tabu š¤£
Una kunywa mbege ukiwa wapi mke wa x MayorHujielewi wewe kiande! Unajiroposha tu humu sijui unanufaikaje! Tangu lini jinai ikawa mauaji? Hivi ni vitu viwili tofauti mbele ya Sheria, sijui unanielewa? Punguza ujuaji!
Safi sana, wazushi hawatakosa kuzusha lingine.View attachment 3099730
Jeshi la Polisi limemkamata na lina mshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania.
Pia soma: Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
Na hii ndio shida yako kuu. Kama ulivyo mke wa babako aliyemtaliki mamako ili akubakishe wewe utamu mpya! Laanakum mkubwa!Una kunywa mbege ukiwa wapi mke wa x Mayor
USSR
Inategemea na resistance yake kama alikataa kutii amri polisi wameruhusiwa kutumia nguvu yenye uwiano sana na ya mtuhumiwaNaona sasa akili zime anza kuwarudia.
Inge kuwa juzi wange sema hako nae.
Ila jinsi walivyo mkamata hadi kumchania nguo bado sio taratibu za ukamataji
Uko sahihi kabisa, hii kamata kamata lengo lake ni kutaka kulisafisha jeshi la polisi na huu utekaji na mauaji ya wapinzani wanayoyafanya.WANATAKA KUJIVUA UHUSIKA WA UTEKAJI KWA MBINU YA KUWAKAMATA SASA NA KUSEMA TUMEWAKAMATA!
Wewe hapa haupo mtandaoni?Sasa ukamanda wa mitandaoni
Beberu ni nani?unawadanganya wenzako kumbe wewe uko kwa mabeberu. Sasa wameanza kushughulikiwa kama alivyosema Rais
Au amekamatwa na chadema.Basi figisu hizo watakuwa wenyewe chadema,uchaguzi wa ndani wa chadema CCM unawahusu vipi we bavicha.
Inategemea na resistance yake kama alikataa kutii amri polisi wameruhusiwa kutumia nguvu yenye uwiano sana na ya mtuhumiwa
Una ushahidi wa unayoyasema?Huyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Amani ya nchi haitunzwi na polisi unadhan Syria na congo hamna polisi?nalipongeza jeshi kwa weledi uliotukuka
hakika amani ya nchi ni kitu cha kutunzwa kwa gharama yoyote
Watekani walienda kumteka, ila baada ya zogo ikabidi waseme wamemkamata. Na hawana maelezo ya kwanini wamemkamata, lakini watatengeneza makosa akiwa humo humo sero. Ila sababu hasa ya kukamatwa ni kutokana na kumtaja kiongozi wa watekaji afande Mafwele.
Ni kweli kabisa maana maaskofu wamemtuhumu kwa uhalifu kiongozi muisilamu.INGEPENDEZA SANA NA WALE MAASKOFU WAKACHUKULIWA,KIMBELE MBELE SANA WALE MAASKOFU.
Ukamataji wa kishamba, walitakiwa kumpatia wito afike Polisi kisha taratibu zingine zifuate.
Kumvamia mtu njiani kama vile ni jambazi sugu hatari muuaji aliyekuwa anakwepa mitego ya polisi mara kadhaa kumkamata kwa staili hii ni njia isiyo sahihi.
Wakili asimulia jambo zima lilivyotokea
View: https://m.youtube.com/watch?v=TPyNi-GCCpA
Siyo kila muhalifu anapewa wito ukimpa kunawahalifu wanakamatwa bila wito ili wasiharibu ushahidi, we unaweza kumpa wito mtu alieficha bangi nyumbani kwake na utegemee utamkuta na hatia? Si ataficha ushahidi
ACT sio wapinzani bali ni tawi la ccm.Mbona ACT wametulia