Huyu hawezi kamatwa walau anabreak kwa mdomo wake sio kama machizi wengine wa chademaNext? Pambalu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hawezi kamatwa walau anabreak kwa mdomo wake sio kama machizi wengine wa chademaNext? Pambalu?
you're a waste of spermUnaufala mwingi sana mke wa boni yai ,nenda kuhudumie kuku
USSR
Unachuma dhambi tu kwa imani yako kuwa shahidi wa uongo ila wewe lazima utakuwa mkristo tu maana ndio huwa hamna hata aibu kuumiza wenzenu bila hatia wala hofu ya munguHuyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Unapiga kelele maaskofu wakamatwe na huku muislam mwenzako ameuwawa.Ha ha 😂 😂
Mkuu kumbuka nawewe utakufa,tuwe na akiba ya maneno kwa wenzetu waliotangulia MBELE ya haki.
Nikutane na mamako kidampaMahakamani ukutane na nani wewe kidampa tu
Anayemtukana Rais Samia sio dhambi hapa jino kwa jinoUnachuma dhambi tu kwa imani yako kuwa shahidi wa uongo ila wewe lazima utakuwa mkristo tu maana ndio huwa hamna hata aibu kuumiza wenzenu bila hatia wala hofu ya mungu
Makhuluku tabu tabuni🤣Bado mdude,maranya masese
Yesu mwenyewe pamoja na mema yake yote na ukuu wake wote lakini alidhihakiwa sana, hakuna jambo baya kama kumpa utukufu mwanadamu, mungu huwa anaushusha huo utukufu kwa wakati wake tusiwe wasahahulifu, binadamu hatuwezi kufanana kimtazamo kwamba wote tuwe na mtazamo mmoja wa mtu mmoja, na kila mtu awe na uhuru katika nchi yakeAnayemtukana Rais Samia sio dhambi hapa jino kwa jino
USSR
Yapi ayo ?, taifa linaenda kuangamia kisa tu watu wachache wa uchu wa madaraka, hii njia inayotumiwa haiwezi fanikiwa asema bwanaView attachment 3099730
Jeshi la Polisi limemkamata na linamshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania.
Pia soma: Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
Mmmh!asee haya mambo ya u-activist na u-politician ni roho mkonon yaan.Huyo atanyea debe mpaka 2026 mwez 2
Sikia kiazi hiki yesu alikuwa raisi wa nchi gani?Yesu mwenyewe pamoja na mema yake yote na ukuu wake wote lakini alidhihakiwa sana, hakuna jambo baya kama kumpa utukufu mwanadamu, mungu huwa anaushusha huo utukufu kwa wakati wake tusiwe wasahahulifu, binadamu hatuwezi kufanana kimtazamo kwamba wote tuwe na mtazamo mmoja wa mtu mmoja, na kila mtu awe na uhuru katika nchi yake
Mnyika, masese, Sativa, mdude zamu yao inakujaAliyesambaza uongo naye akamatwe
Kiongozi habanangwi....Yesu mwenyewe pamoja na mema yake yote na ukuu wake wote lakini alidhihakiwa sana, hakuna jambo baya kama kumpa utukufu mwanadamu, mungu huwa anaushusha huo utukufu kwa wakati wake tusiwe wasahahulifu, binadamu hatuwezi kufanana kimtazamo kwamba wote tuwe na mtazamo mmoja wa mtu mmoja, na kila mtu awe na uhuru katika nchi yake
Endelea kutukuza binadamu ambao nao wanapigania uhai kama weweSikia kiazi hiki yesu alikuwa raisi wa nchi gani?
USSR
Mubarak alikuwa anongoza nchi yenye Uchumi mkubwa barani Africa na akiwa Kamanda Mkuu pia wa Jeshi kubwa kuliko yote barani Africa. Lakini wananchi waliposhindwa uvumilivu na kutaka kuleta mageuzi, vyombo vyake vya dola havikumsaidia kitu na badala yake waliungana na wananchi kukamilisha safari ya kupata Uhuru kamili wa Nchi yao ( Second Liberation). Kwa hiyo pongexa na kusifia kwa uangalifu !nalipongeza jeshi kwa weledi uliotukuka
hakika amani ya nchi ni kitu cha kutunzwa kwa gharama yoyote
Ni tuhuma tu. Tusubilie sheria ichukue mkondo wake. Hata watu maarufu sana duniani kama Trump wamewahi kutuhumiwa. Na Puffy Daddy tunapongea kwa sasa yuko rumande. Kuwekwa ndani kwa wapigania Uhuru na Haki duniani kote ni jambo la kawaida. Wengine mpaka wamepoteza maisha yao au kupata vilema vya milele. Cha msingi haki itendeke.Kumbe hajatekwa ila amekamatwa kwa tuhuma za jinai. Mwanzo ilivumishwa uongo.
Ukweli huyu mtu inabidi atupe majibu kabisaJeshi la Polisi linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijanai anayotuhumiwa nayo.
#NidhamuHakiWeledinaUadilifuMsingiwaMafanikioYetu