Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Huyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni

USSR
Unachuma dhambi tu kwa imani yako kuwa shahidi wa uongo ila wewe lazima utakuwa mkristo tu maana ndio huwa hamna hata aibu kuumiza wenzenu bila hatia wala hofu ya mungu
 
Unachuma dhambi tu kwa imani yako kuwa shahidi wa uongo ila wewe lazima utakuwa mkristo tu maana ndio huwa hamna hata aibu kuumiza wenzenu bila hatia wala hofu ya mungu
Anayemtukana Rais Samia sio dhambi hapa jino kwa jino

USSR
 
Anayemtukana Rais Samia sio dhambi hapa jino kwa jino

USSR
Yesu mwenyewe pamoja na mema yake yote na ukuu wake wote lakini alidhihakiwa sana, hakuna jambo baya kama kumpa utukufu mwanadamu, mungu huwa anaushusha huo utukufu kwa wakati wake tusiwe wasahahulifu, binadamu hatuwezi kufanana kimtazamo kwamba wote tuwe na mtazamo mmoja wa mtu mmoja, na kila mtu awe na uhuru katika nchi yake
 
View attachment 3099730
Jeshi la Polisi limemkamata na linamshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.

Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania.

Pia soma: Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
Yapi ayo ?, taifa linaenda kuangamia kisa tu watu wachache wa uchu wa madaraka, hii njia inayotumiwa haiwezi fanikiwa asema bwana
 
Yesu mwenyewe pamoja na mema yake yote na ukuu wake wote lakini alidhihakiwa sana, hakuna jambo baya kama kumpa utukufu mwanadamu, mungu huwa anaushusha huo utukufu kwa wakati wake tusiwe wasahahulifu, binadamu hatuwezi kufanana kimtazamo kwamba wote tuwe na mtazamo mmoja wa mtu mmoja, na kila mtu awe na uhuru katika nchi yake
Sikia kiazi hiki yesu alikuwa raisi wa nchi gani?

USSR
 
Yesu mwenyewe pamoja na mema yake yote na ukuu wake wote lakini alidhihakiwa sana, hakuna jambo baya kama kumpa utukufu mwanadamu, mungu huwa anaushusha huo utukufu kwa wakati wake tusiwe wasahahulifu, binadamu hatuwezi kufanana kimtazamo kwamba wote tuwe na mtazamo mmoja wa mtu mmoja, na kila mtu awe na uhuru katika nchi yake
Kiongozi habanangwi....

Ukimbananga tu unakuwa MAKHLUKU TABU 🤣
 
nalipongeza jeshi kwa weledi uliotukuka
hakika amani ya nchi ni kitu cha kutunzwa kwa gharama yoyote
Mubarak alikuwa anongoza nchi yenye Uchumi mkubwa barani Africa na akiwa Kamanda Mkuu pia wa Jeshi kubwa kuliko yote barani Africa. Lakini wananchi waliposhindwa uvumilivu na kutaka kuleta mageuzi, vyombo vyake vya dola havikumsaidia kitu na badala yake waliungana na wananchi kukamilisha safari ya kupata Uhuru kamili wa Nchi yao ( Second Liberation). Kwa hiyo pongexa na kusifia kwa uangalifu !
 
Kumbe hajatekwa ila amekamatwa kwa tuhuma za jinai. Mwanzo ilivumishwa uongo.
Ni tuhuma tu. Tusubilie sheria ichukue mkondo wake. Hata watu maarufu sana duniani kama Trump wamewahi kutuhumiwa. Na Puffy Daddy tunapongea kwa sasa yuko rumande. Kuwekwa ndani kwa wapigania Uhuru na Haki duniani kote ni jambo la kawaida. Wengine mpaka wamepoteza maisha yao au kupata vilema vya milele. Cha msingi haki itendeke.
 
Ngoja tuone kama atakaa cello masaa 24....then wampeleke mahakani asomewe ayo mashtaka ya jinai tujue ni yapi
 
Jeshi la Polisi linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijanai anayotuhumiwa nayo.

#NidhamuHakiWeledinaUadilifuMsingiwaMafanikioYetu
Ukweli huyu mtu inabidi atupe majibu kabisa
 
Back
Top Bottom