Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Tunakata Jacob atuambie kuhusu ukweli maana alichopost tunachoWANATAKA KUJIVUA UHUSIKA WA UTEKAJI KWA MBINU YA KUWAKAMATA SASA NA KUSEMA TUMEWAKAMATA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakata Jacob atuambie kuhusu ukweli maana alichopost tunachoWANATAKA KUJIVUA UHUSIKA WA UTEKAJI KWA MBINU YA KUWAKAMATA SASA NA KUSEMA TUMEWAKAMATA!
Alituambia kua kuna simu ilikua inampigia kuhusu Hayati KibaoMakosa ya jinai ndio yapi hayo? Wekeni hadharani
Peleka ushahidi wako na weweHuyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Msitembee hovyo sinza na ununio..mlale saa saba mchana....Naona sasa akili zime anza kuwarudia.
Inge kuwa juzi wange sema hako nae.
Ila jinsi walivyo mkamata hadi kumchania nguo bado sio taratibu za ukamataji
Kwani kakwambia nan kuwa Tanzania kuna vita...ushuzi wako...😠nalipongeza jeshi kwa weledi uliotukuka
hakika amani ya nchi ni kitu cha kutunzwa kwa gharama yoyote
Are you sure?Huyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Hata kwa kumtoa mtu roho au gharama ya fedha na muda tu?nalipongeza jeshi kwa weledi uliotukuka
hakika amani ya nchi ni kitu cha kutunzwa kwa gharama yoyote
Usilishwe matango pori.madudu wanayofanya upinzani awamu hii yatawatokea puani
Kwa sababu mara ya kwanza waliulizwa wanasema hawana taarifaChadema walishaanza kutembea na Kick eti katekwaaa....chadema walivyo mafala hapo wamemind sana,Yani hapo chadema furaha YAO ilikuwa Boni yai apotee mazima ili wapate mtaji wa kisiasa na Maaskofu wao .
Mwisho wake utafika tu wa mambo haya. Naamini God is ableChadema si wanajifanya kichwa ngumu,si wanataka kuandamana??
Sasa wameanza kuandamishwa wao kwanza mapema tuh.
Baadaye Slaa akapelekwa ubalozi wapi? Kwa chama gani? Uwe na akili!Uko sahihi,
LAKINI wewe si umemskia Wilbroad Slaa aliposema kuwa sometimes walikuwa wanajiteka wenyewe?
Hakuna anaefurahia watu kutekwa au kumwagwa damu.
Nadhani Kuna kitu alijiamini mbona aliweka na namba ya simu?Kamuulize Bon Yai leo amekipata na kama bado anafikiri ni mipasho ya taarabu!!?
Ni jeshi la hovyo kabisaBadala ya USALAMA wa raia, wao wameaamua kuwa na UHASAMA na raia.
Hukunielewa mushi,na shida yako Mushi ni huo uchaga wako tuhUnapiga kelele maaskofu wakamatwe na huku muislam mwenzako ameuwawa.
Bure kabisa.