Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Naona sasa akili zime anza kuwarudia.
Inge kuwa juzi wange sema hako nae.
Ila jinsi walivyo mkamata hadi kumchania nguo bado sio taratibu za ukamataji
Msitembee hovyo sinza na ununio..mlale saa saba mchana....
 
Chadema walishaanza kutembea na Kick eti katekwaaa....chadema walivyo mafala hapo wamemind sana,Yani hapo chadema furaha YAO ilikuwa Boni yai apotee mazima ili wapate mtaji wa kisiasa na Maaskofu wao .
Kwa sababu mara ya kwanza waliulizwa wanasema hawana taarifa
 
Uko sahihi,

LAKINI wewe si umemskia Wilbroad Slaa aliposema kuwa sometimes walikuwa wanajiteka wenyewe?

Hakuna anaefurahia watu kutekwa au kumwagwa damu.
Baadaye Slaa akapelekwa ubalozi wapi? Kwa chama gani? Uwe na akili!
 
Ukiangalia tu format ya hiyo barua na imetoka makao makuu, utaelewa ndani ya Polisi kuna watu wa aina gani. Yaani hata mtoto wangu wa chuo hawezi andika barua format mbovu namna hiyo 😃
 
Viongozi wengi Afrika ni waoga sana kwa sababu ya kukosa maarifa, ujinga ni mzigo mkubwa sana Afrika. Uoga ni ishara ya uoga.
Tumekuwa taifa la hovyo, hakuna dira na fikra mbadala katika vizazi vyetu.
 
Mwendo wa kuvuruga Ajenda na mipango yao ya chama washindwe kujipanga na uchaguzi wa ndani na serikali mitaa.
 
Back
Top Bottom