Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,317
- 1,320
Pepo lazima litoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pepo lazima litoke
Mama angu ni wewe....mtashughulikiwa kisawasawa jikuteni tu mnahasira sanaKamdhibiti mama yako kwanza asitiwe nyuma. Tunauchungu na kudhulumiwa haki yetu.
Wanachofanyiwa wapinzani dhamira yako inakikubali? Kiufupi wapinzani wameonewa Sana na wao Wana mioyo ya nyama pia acha tufomat tuanze upya haki huinua taifa.Wapinzani acheni fujo mtaumia. Msicheze na serikali
na safari hii wakituuliya Pemba dar es salaam hapatakalika itakuwa ni moto tu maana kuna softy target kibaoSafi jeshi la polisi hakikisheni mnadela na mtu yoyote anayekusudia kuvuruga amani ya nchi
Safari hii Kuna watu watakwenda the Hague kumsalimia Chaz tailor na rola bagboKwa mujiu wa ITV, Jeshi la PolisI Zanzibar limefanya mazoezi ya kupambana na waandamanaji.
Hiyo inakuja siku chache baada ya Maalim Seif kuapa kuwa safari hii hakuna atakayekubali kuchakachuliwa kwenye matokeo ya kura.
Naona ngoma imeanza kulindima kila sehemu.
Hilo lipo karibu sana,Safari hii Kuna watu watakwenda the Hague kumsalimia Chaz tailor na rola bagbo
Asiye funzwa na mama ufunzwa na ulimwengu.umepewa utawale watu na sio kumiliki akili za watu.
Tatizo hawa wenzetu wamesha lewa madaraka na kutuona watanzania kuwa ni makondoo wa kuswagwa tu.Asiye funzwa na mama ufunzwa na ulimwengu.umepewa utawale watu na sio kumiliki akili za watu.
Kupambana na wakati Ni kupiga ngumi ukutani.Mwanadamu katu hawezi kuwa na mawazo hayo hayo ya miaka ya 70
SIRO anadhani ana mamlaka yote hapa duniani, wakati hata huyo mkuu wake hana.Mbinu hii ya kishamba haiwezi kumtisha yeyote kwa sasa
Thus wanatumia formula ya kuongozea wanyama kutuongozea,Tatizo hawa wenzetu wamesha lewa madaraka na kutuona watanzania kuwa ni makondoo wa kuswagwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyeo vinawadanganya sana !SIRO anadhani ana mamlaka yote hapa duniani, wakati hata huyo mkuu wake hana.
Mbona ndo kawaida yao kuiba kura?Ole wao wathubutu kuiba kura watajua kuwa hakuna cha polisi,, usalama wala jeshi!
Nnarudia tena, ole wao wathubutu kuiba kura!
Tutawafanya kitu hawatakaa wasahau! Mmoja baada yamwingine