Zanzibar 2020 Jeshi la Polisi Zanzibar laanza mazoezi ya utayari kukabiliana na maandamano na wavunjifu wa amani

Zanzibar 2020 Jeshi la Polisi Zanzibar laanza mazoezi ya utayari kukabiliana na maandamano na wavunjifu wa amani

CCM wabeep tu fire na hao police wao. This time nchi itawaka moto kutokana na ushamba wao wa madaraka.
 
Wapinzani acheni fujo mtaumia. Msicheze na serikali
Wanachofanyiwa wapinzani dhamira yako inakikubali? Kiufupi wapinzani wameonewa Sana na wao Wana mioyo ya nyama pia acha tufomat tuanze upya haki huinua taifa.
 
Safi jeshi la polisi hakikisheni mnadela na mtu yoyote anayekusudia kuvuruga amani ya nchi
 
Safi jeshi la polisi hakikisheni mnadela na mtu yoyote anayekusudia kuvuruga amani ya nchi
na safari hii wakituuliya Pemba dar es salaam hapatakalika itakuwa ni moto tu maana kuna softy target kibao
 
Kwa mujiu wa ITV, Jeshi la PolisI Zanzibar limefanya mazoezi ya kupambana na waandamanaji.

Hiyo inakuja siku chache baada ya Maalim Seif kuapa kuwa safari hii hakuna atakayekubali kuchakachuliwa kwenye matokeo ya kura.

Naona ngoma imeanza kulindima kila sehemu.
Safari hii Kuna watu watakwenda the Hague kumsalimia Chaz tailor na rola bagbo
 
Asiye funzwa na mama ufunzwa na ulimwengu.umepewa utawale watu na sio kumiliki akili za watu.
Kupambana na wakati Ni kupiga ngumi ukutani.Mwanadamu katu hawezi kuwa na mawazo hayo hayo ya miaka ya 70
Tatizo hawa wenzetu wamesha lewa madaraka na kutuona watanzania kuwa ni makondoo wa kuswagwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani safari hii ndiyo itakuwa mwisho wa wapiga kelele wanaowaaminisha wazanzibar kwamba njia sahihi ya kudai haki ni kuandamana ili wapate uongozi.

Kwakuwa wamepania kupigana na wameahidi kuwa mstari wa mbele basi ngoja tuone.

Mwaka huu iwe mwisho tumechoka sana kuwavumilia wanaotumia midomo kudharau,kubeza kila kitu zipigwe kisawasawa ili mwisho wa siku heshima ipatikane ili nia njema ya CCM ijulikane kwa wale wanaopotoshwa kwa hoja za uchonganishi kwaajili ya kulinda maslai yao binafsi.
 
Ole wao wathubutu kuiba kura watajua kuwa hakuna cha polisi,, usalama wala jeshi!

Nnarudia tena, ole wao wathubutu kuiba kura!

Tutawafanya kitu hawatakaa wasahau! Mmoja baada yamwingine
Mbona ndo kawaida yao kuiba kura?
 
Yaani ccm na polisi wanafikiri ubabe unasaidia ? Kutenda haki ndio mwarobaini vinginevyo mwaka huu Hali itakuwa mbaya sana kwa jinsi Jiwe alivyopata kupata theluthi moja ya wabunge wa Zanzibar ili she abadili katiba , Kuna watu watakwenda the Hague.
 
Back
Top Bottom