Pumbavu.Kwa hiyo Polisi iwashangilie na kuwasindikiza waende zao nyumbani.Hatutaki ujinga huo.Jeshi haliwezi kushindana na wananchi wake likawashinda...kinachotakiwa hapo ni busara tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu.Kwa hiyo Polisi iwashangilie na kuwasindikiza waende zao nyumbani.Hatutaki ujinga huo.Jeshi haliwezi kushindana na wananchi wake likawashinda...kinachotakiwa hapo ni busara tu.
Jipendeleeni kujidanganya!!Rais gani amefungwa huko
ndiyo nakwambia hivi police isipotumia busara hapa mambo yanakwenda kubwa mabaya zaidi, Police yoyote duniani haiwezi kupambana na wananchi wake!! ikashinda...Pumbavu.Kwa hiyo Polisi iwashangilie na kuwasindikiza waende zao nyumbani.Hatutaki ujinga huo.
Jipendeleeni kujidanganya!!
ndiyo nakwambia hivi police isipotumia busara hapa mambo yanakwenda kubwa mabaya zaidi, Police yoyote duniani haiwezi kupambana na wananchi wake!! ikashinda...
Kinachoshinda huwa ni busara tu toka kwa Police.
MilosevicRais gani amefungwa huko
Dawa yake ni kukinukisha hadi maccm yote yafilie mbali hukooooo peponiUnguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani.
Limesema waliokamatwa ni waliochoma matairi na kuyaweka katikati ya barabara na waliokwenda katika vituo vya kupigia kura wakati leo wanaoruhusiwa kupiga kura ni makundi maalum wakiwemo askari wa vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na kuyashambulia kwa mawe magari ya polisi.
Hayo yameelezwa leo Jumanne Oktoba 27, 2020 na Kamanda Polisi wa Mkoa huo, Awadh Juma Haji wakati akizungumza na Mwananchi Digital.
Amesema mbali ya matumizi ya mabomu hayo, wanawashikilia baadhi ya vijana waliodai kuhusika katika matukio hayo.
Amebainisha kuwa vijana hao wanatuhumiwa kuchoma moto matairi ya magari na kuyaweka katikati ya barabara na maeneo mbalimbali kinyume na sheria, kuyashambulia kwa mawe magari ya askari polisi waliokuwa katika doria huku wakijua kuwa kazi ya polisi ni kusimamia amani na utulivu.
Ndugu yako amekufa au?Watuambie maiti zinazoonekana kwenye mitandao ya kijamii nani amewaua wale watu?
Mnachukua muda mrefu kutoa majibu halafu mnakuja na taarifa laini isiyojitosheleza.
Una uhakika kuwa wewe utapona ikitokea fujo.Dawa yake ni kukinukisha hadi maccm yote yafilie mbali hukooooo peponi
Inategemea ni wananchi wepi, walio timamu au wendawazimu wanaochoma matairi barabarani. Wendawazimu wanaoharibu mali za umma kwa hasira binafsi wanaweza dhibitiwa hata na mgambo wa kijiji.Jeshi haliwezi kushindana na wananchi wake likawashinda...kinachotakiwa hapo ni busara tu.
Uchaguzi usitishwe kwa kuwa kuna wendawazimu hawawezi kutulia nyumbani wasipokuwa na kazi ya kufanya! Watu kama hao ni kuwashughulikia tu mpaka washike adabu...Polisi walitakiwa wasitishe kura ya mapema.
..Vifo vilivyotokea chanzo chake ni kura ya mapema.
..Kwanini Polisi waliruhusu kura ya mapema iendelee wakielewa kabisa kwamba kulikuwa na "viashiria" vya kuvunja amani?
Hivyo umefurahi siyo! Upinzani wa nchi hii wa hovyo kabisa. Raia anafurahia nchi yake kushambuliwa. Hivi huwa mnapewa viroba vya wapi nyie watu.Nasikia mtwara imevamiwa na alishababu vipi polisi wetu watakwenda na huko ?
Hawa keyboard warriors wa huku mitandaoni hamna kitu kabisa. Hata mawe hawawezi kuokota. Maneno matupu tu.Wewe ndo ungekuwa polisi alafu vijana wanakulushia mawe, wakati huo wanaharibu magari kwa mawe ungetumia busara gani zaidi ya kuwadhibiti? [emoji848]
Ikiwa jeshi haliwezi kuwashinda wananchi wake kama usemavyo, Basi msilalamike huku mitandaoni, nendeni mkapambane nao.
Kuna vifo na vilema vya kujitakia. Unajua kura ya leo haikuhusu wewe unaiparamia...inawezekana mambo yako vizuri kwenye vitabu vya sheria, ila unapoingia field na kuanza kuitekeleza sheria matokeo yake ndiyo hivyo vifo na vilema kwa wananchi.
..wahusika wangekuwa na busara, na wangekuwa wanayathamini maisha ya Watanzania, naamini wangeachana na zoezi la kura ya mapema.
Wanataka polisi kutumia busara ambayo wao wenyewe hawana na hawako tayari kuwa nayo.Pumbavu.Kwa hiyo Polisi iwashangilie na kuwasindikiza waende zao nyumbani.Hatutaki ujinga huo.
Mbona limewashinda?Jeshi haliwezi kushindana na wananchi wake likawashinda...kinachotakiwa hapo ni busara tu.
Tulia ww hujui lolote!!Mbona limewashinda?
Pia ieleweke JESHI halijashindana na wananchi limeshindana na wahalifu.
Mwambie maalimkuna ndoo za kimataifa pia kumbuka!! duniani huwezi kutawala unavyotaka wewe!!
Kupiga polisi mawe ni kujitafutia shida, Kama una hasira kazimalizie kwenye sanduku la kura.