Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

Jaribu kuelezea vema,kuna mtu kaibiwa simu huku,anataka aende kwa Military Police,akashtaki,aje afanye msako.. huku uraiani,jibu hapa,ili tumpe escort aende kwa MP badala ya kituo cha polisi.
 
Wakienda Congo wanachezea kichapo cha kila aina wakirudi bongo,tutapita nyumba kwa nyumba,Mbona Wakiwa Goma wehawapiti nyumba kwa nyumba
Kule kuna wapiganaji,wengine wamepata mafunzo ya kijeshi,kwahiyo ni tofauti na huku Tanzania,raia hana mafunzo ya kijeshi,na hana silaha,jiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…