Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

Nyie la saba failure mnasumbua sana huku!
Story za vijiwen ndo zimewajaa vichwani...
We are proud of being standard seven. Standard sju är en grundläggande för utbildning. Om du föraktar det kan du till och med vända dig till dina föräldrar som tar dig till den här världen.
 
Mkuu. "with all due respect" usiwe kama mtu ambae hatumii akili.

Yaani wanajeshi hawapaswi kuonekana hata kwenye vilabu vya pombe kusaka na kugombea wanawake (wenyewe huita wavila), upumbavu mtupu.

Jeshi shughuli zake zote ni makambini na hawapaswi kuwa mitaani mpaka pale hali ya dharura inapotangazwa.

Dharura hiyo ni maafa, uasi na vurugu ambazo ni jeshi la polisi huomba msaada.

Na ni serikali ndo hutoa amri kupitia waziri wa ulinzi kutuma wanajeshi kushika sehemu muhimu.

Wanajeshi wakionekana mitaani yajulikana kuwa kuna jambo kubwa limetokea na wananchi huwa na hamu ya kuwaona.

Tusijitwishe ujuaji uso na manufaa yoyote.
 
Ndo tuko hapa Mabatini,Mbeya tunasubiri upekuzi wa jeshi la wananchi.Tambua mtu asipolindwa,atajilinda.Na uzuri haya mambo,mnamalizana hapohapo,hakuna kupelekana polisi.Nadhani hii itaonyesha ujasiri kwa baadhi ya wananchi.
Hizo kelele za chura
 
Wanajeshi wa Tanzania kuna wakati hufanya mambo bila kujitambua kuwa wafanya makosa na ni kinyume cha sheria.

Wapo watalii wengi nimeshuhudia wakiwa wamevalia nguo kadhaa za kijeshi khasa kaputula na kofia na kwa ujinga wetu uleule hakuna mwanajeshi au askari polisi ambae amethubutu kuwakamata hao wageni.

Pia wapo watali ambao huvaa zile koti zenye mifuko mingi khasa wale wanokwenda mbugani kupiga picha na wala hakuna hatari yoyote kwa usalama wa taifa?

Hizo nguo kwa sasa zipo nyingi sana tena zingine hivi karibuni zimekuwa ni sehemu ya shehena ya bidhaa za vita vya Ukraine.

Pia yapo maduka mengi khasa ya mitandaoni ambayo huuza nguo hizo za kijeshi kama fani kwa wale wapendao kuvaa hizo nguo na ni sehemu ya "fashion" ya nguo.

Tuachane na hizi kero za nguo za kijeshi hazina madhara yoyote kwa wale wanozivaa.
 
Malipo ya elfu saba saba za Lumumba yamefanya vijana wengi wasiwe na akili. Jeshi haliko juu ya sheria, acheni woga.

Jeshi likijaribu kufanya huo UJINGA sisi tutaliburuza huko kwenye Mahakama za CCM ili "wakaaibishane" kupitia kwenye vifungu vya sheria ya Katiba mbovu ya CCM

 
Wewe ndo hutumii akili kwa sababu hujui majukumu ya jeshi. Mmekariri vita tu. Ha ha ha! Ingekuwa jeshi linasubiri vita kwanini mabalozi wengi duniani ni wanajeshi.

Kwa nini maofisa wengi balozini ni wanajeshi. Si wangekaa kambini kusubiri vita kama unavyomaanisha.

Kwanini kamati za usalama za nchi nyingi hata hapa Tanzania kamati za usalama zinajumuisha wanajeshi, anzia wilayani, mkoa hadi Taifa. Unajua vikao vya ulinzi na usalama vinajadili maswala gani?

Ati serikali! Unajua hiyo serikali inavyoendeshwa? Unajua mambo yote unayoyaona kuanzia kijinini kwenu, wilayani, mkoani hadi Taifa jeshi wanahusikaje?

Kwa taarifa yako humu duniani serikali zote zinategemea jeshi. Si maswala tu ya vita hata na mengineyo.

Kagame, na ethiopia wanaongoza kwa kuwa na wanajeshi wengi nje hawako kivita wapo kwa kazi maalum. Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zinginezo wanajeshi ndo maintellijensia wa uchumi. Jeshi linakazi zaidi ya vita.

Tafakari ndugu yangu. Unajua mambo unayoyaona nje ni tofauti na inavyokuwa ndani.
Mfano tu wakati Rais Magufuli amefariki kulitokea matafaruku nani ashike nchi, kuna baadhi ya viongozi waliosema Makamu wakati huo Samia hawezi. Ili liko wazi. Mama Samia alilisema na Mkuu wa Majeshi wakati huo aligusia kidogo.
Ni Mkuu wa majeshi ndo alie toa msimamo kuwa katiba ifuate wote wakaufyata! Kwanini Mkuu wa jeshi aliingia katika kikao cha serikali si angekuwa kambini kwa msemo wako.

Narudia jeshi si vita tu!
 
Sina haja ya kusoma hii pumba.

Jeshi si vita=Jeshi ni kukusanya vitambaa
 
Hichi kiswedish hakitakusaidia ndugu
Uliongea kiingereza ukiwa msomi wa PhD nami nikaona though am out of english vocabruary with my standard seven let me express with the language I know. Na darasa la saba Mungu kanisaidia kuizunguka dunia na walau kujua lugha mbalimbali make hata kiswahili nilifeli nikiwa la saba.
ለዚህም ነው በስዊድን ቋንቋ መግለጽ ያስፈለገኝ።
ነገር ግን በእኔ ደረጃ ሰባት አሁንም በአለም ውስጥ ብዙ ቋንቋዎችን አውቃለሁ። አሁን በአማርኛ እንወያይ
 
Ngoja nikuache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukibishana na mpumbavu waweza kuwa mpumbavu, nadhani katika hilo, akili zako zimejazwa pumba ndo maana umekariri pumba. Uwe na wakati mwema wa kuwaza pumba. Ha ha ha!
Silence is better than unnecessary drama tuishie hapa
 
You started with mouthfool provocation instead of discussing the matter in issue. I was not suprised with your attack on personality instead of narrating your logics to convice what is contrally to your point.
Shida unatetea uwendawazimu [emoji53][emoji53]
 
Silence is better than unnecessary drama tuishie hapa
Ni kwambie tu ndugu yangu. Wengine hata hatujazaliwa tulitukanwa tukiwa tumboni mwa mama zetu. Tukazaliwa tunatukanwa hadi tunakua. So kwangu mimi matusi wala sijali na siumii. Na si njia ya kunifanya niache kusimamia nacho kiamini.

Naona watanzania wengi wa siku hizi wanadhani matusi ndo njia pekee ya kujadili ili umnyamazishe mtu. Mfano tunaongelea mada. Badala uje na mawazo yako unakejeli watu sijui darasa la saba. Hivi uoni utakuwa umetukana hadi kwenu kwani watanzania wengi wameishia la saba. Hivyo ilo tusi umejumuisha na wazazi au nduguzo.

Lakini ujue kusoma unapata taaluma ya kidarasa, ila kuna watu wameelimika zaidi ya udhaniavyo. Unajua wanasayansi wengi hawakua wasomi?

Unajua waliofanikiwa wengi matajiri wakubwa si wasomi? Nenda hata huko Ulaya wanao enjoy na life si wasomi. Jifunze kutodharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…