Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

Mkuu yaishe[emoji107]
 
Shida unatetea uwendawazimu [emoji53][emoji53]
Naongea nacho kijua. Sikurupuki. Nina experience ya kutosha! Nina exposure, na naweza kusema nafahamu mengi! Zamani nikiwa kama wewe sikujua na nilidhani mimi navyojua ndo kila kitu.

Ila uzoefu. ulinifanya kufungua macho. Naingia kazini nilifundishwa na huyo mtu unae msema darasa la saba. Tena wamama wazee hawa ndo walio nifundisha kazi.

nimefanya kazi nje nchi kadhaa nimefundishwa na hao hao ambao hawana elimu kubwa. Make hata ulaya wapo. Na ndiyo walio nisaidia ktk future.

Jifunze kuheshimu kila mtu. Utajua mengi.
 
maandamano afanye nani bongo ndugu yangu! Njaa iliyopo jumlisha madeni hata nguvu tu ya kufatilia nakosa
 
Jwtz,imejaa vijana, failures wa form 4,kule juu imejaa makada wa CCM, wanasubili wateuliwe wawe ma RC, DC, mabalozi nk! Yaani, mtu kasoma military science! Amefikia cheo cha major nk, lakini,badala, ya kuwaza Mambo makubwa kama kuanzisha jeshi, LA, pamoja LA SADC, au East Africa, au kutafuta kazi, UN, the hague nk, au kufungua kampuni la ulinzi, kama Wagner au black water,anawaza uteuzi, kuwa mwenyekiti wa CCM akishastaafu!
Akili hakuna kabisa,
Yule msemaji wao, ukimuangalia vzr,nafikiri kirusi cha ngoma kimefika kwenye ubongo! Anaongea kama kibaka, au konda anaetishia wanafsunzi wasipande daradara kama hawana sarsfu ya 200
 
Wee kilaza sheria za jeshi zinawahusu wao wenyewe na kamwe haziwahusu raia kwa mujibu wa katiba!

Raia hawezi kupelekwa kwenye mahakama za kijeshi lakini mwanajeshi akitenda jinai uraiani anavuliwa jeshi na kupelekewa mahakama za kiraia na polisi.

Usijifanye mjuaji kumbe ni chawa tu kazi kutisha watu!
 
Ni kweli sare za jeshi hazitakiwi kuvaliwa nasi raia....

Namuunga mkono MWABUKUSI kuwa JWTZ liheshimu katiba....

Liheshimu katiba....

Wasiingilie kazi ya JESHI LETU LA POLISI.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Watanzania tuache kuchekea ujinga. Jwshi linapaswa kufanya mambo serious na sio kuanza kusumbua raia. Jeshi linapaswa kuwa sehemu ya raia kukimbilia pale ambapo vyombo vingine vyote vimeshindwa
[emoji2956]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…