Jwtz,imejaa vijana, failures wa form 4,kule juu imejaa makada wa CCM, wanasubili wateuliwe wawe ma RC, DC, mabalozi nk! Yaani, mtu kasoma military science! Amefikia cheo cha major nk, lakini,badala, ya kuwaza Mambo makubwa kama kuanzisha jeshi, LA, pamoja LA SADC, au East Africa, au kutafuta kazi, UN, the hague nk, au kufungua kampuni la ulinzi, kama Wagner au black water,anawaza uteuzi, kuwa mwenyekiti wa CCM akishastaafu!
Akili hakuna kabisa,
Yule msemaji wao, ukimuangalia vzr,nafikiri kirusi cha ngoma kimefika kwenye ubongo! Anaongea kama kibaka, au konda anaetishia wanafsunzi wasipande daradara kama hawana sarsfu ya 200