Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Najua muda huu mkuu Pascal Mayalla uko njiani kuelekea pale Ngome kuitikia wito wa JWTZ.

Natumai utatuhabarisha yanayojiri kama ulivyofanya juzi kwenye ule mkutano wa TOTAL.

Mungu wa mbinguni akupe wepesi.
Hii nyaraka iko sawa sawa kweli!

Source yake ni ya kuaminika?
IMG_2629.jpg

Mhuri huu vipi...
 
Ni swala la mda police watavuna walichokipanda , inawezekana top ten leaders jeshini wapo upande wa serikali ,ila ukiondoa hao Sio wote wanaweza kuwa wanakubaliana na upuuzi unaofanywa au endelea kufanywa na jeshi la police, ipo siku kitawaka
Hakuna kitu kama hicho labda bifu za chini chini tu!!
 
Ndiyo kesho linatolewa tamko juu yao hao ndiyo mtajua kuwa hamjui na virungu vyenu mtatandikwa huku mnachekwa na kuzomewa
Unaota bro police wapo juu ya JWTZ
 
kuna uongo mkubwa kama ule wa kuhubiri EL fisadi kwa zaidi ya 10yrs halafu ndani ya mwaka mmoja anagombea uraisi anaitwa msafi...?..
Kuna uongo mkubwa kama ule wa Dr Slaa alipotudanganya kuna mradi wa bomba la gas kupita baharini kuelekea dubai..?
Kuna uongo mkubwa kama ule wa Dr Slaa kusema Riz 1 kakamatwa na madawa China na JK kaenda kusainishwa mkataba..
Kuna uongo mkubwa kama ule wa TL pale BBC eti mlinzi wa JPM amekufa kwa Covid wakati yuko hai ?....

Wanasiasa wote Tanzani ni waongo tu na matapeli, watanzania wote ukiwemo wewe ni matapeli matapeli na waongo waongo tu..., siwezi kushangaa ndio utamaduni wetu kudanganya na kudanganywa...
Mnadanganywa kama makasuku nanyi mnakubali tu kama mazumbukuku tu.

Kiufupi mmelaanika tu nyinyi mbogamboga
 
Bibi ushungi anaenda benchi nini?
Yaani tamko alafu, Rais wa nchi asijue linahusu nini kama ni hivyo basi watu wa usalama hawajui kazi yao.
wewe unadhani nchi inaenda tu kibahati bahati, kila kitu kuhusu usalama wa nchi na Rais kipo organized sana.


Hilo ni tamko la tishio la ugaidi
 
Wakubwa wa jeshi wana maisha mazuri sana, akini mwao hata siku moja hawawazi hilo.

Hao walikuwa wanampigia saluti moaka Makonda sasa unategemea lipi la maana kutoka kwao?

Tutafute ugali wetu tu.
Inawezekana wewe hata jkt hujawahi kupitia ndiyo maana unalishusha heshima jeshi letu.
 
Wanajitenga nao?😅 Utasikia sisi hatuwatambui na wala hawakuwahi kutumikia jeshi hili lenye uadilifu mkubwa
Wakisema ivyo picha zao zitazagaa vilivyo ,sidhani kama wanaweza toa tamko la namna hii,ila kwa tz kitu kinawezekana kwamba police anamtesa KWa malungu komandoo KWa interest za siasa chafu
 
Ndio mara ya kwanza tokea uhuru tunaenda kutawaliwa na jeshi nipo nimefurahia kusikia hivyo
We ni mbuzi unajua vikwazo utakavyowekewa vitkufanya ununue mche wa sabuni sh 5000/ ? Mnaongea tu,ukiona jeshi linachujua nchi ujue uchumi utadondoka vibaya sana maana hawana wanachojua zaidi ya amri
 
Wakae tuu kambini,kazi yao ni moja tuu kulinda mipaka ya nchi, tangu wanirushe kichurachura na kunivua shati bila sababu siamini wajinga hao bora tupambane na wezi wa kura CCM kuliko hayo yenye SMG na vifaru
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] polee mkuu.
 
Nililiona hili tangazo mapema sana nikashindwa kulitima kwenye socal media maana aliyeliandika ameliandika kindezi sana
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa kesho Novemba 30, 2021 litafanya mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko maalum.

Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa mikutano ilipokuwa makao makuu ya jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam saa nne asubuhi.

Vyombo vyote vya habari vinaalikwa.
View attachment 2027686
Jeshi limeanza kufanya siasa
 
Nililiona hili tangazo mapema sana nikashindwa kulitima kwenye socal media maana aliyeliandika ameliandika kindezi sana
Embu andika lako uki assume wewe ni mkuu wa habari mawasiliano apo kwenu
 
Back
Top Bottom