Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Hivi Mbona watu wanachukulia tamko maalum la jeshi kama mzaha mzaha tu. Hivi mnajua maana ya tamko la jeshi au?
 
Najua muda huu mkuu Pascal Mayalla uko njiani kuelekea pale Ngome kuitikia wito wa JWTZ.

Natumai utatuhabarisha yanayojiri kama ulivyofanya juzi kwenye ule mkutano wa TOTAL.

Mungu wa mbinguni akupe wepesi.
Huko hakuna jipya zaidi ya siasa, utasikia wakisifia utendaji uliotukuka wa bi kidude
 
Najua muda huu mkuu Pascal Mayalla uko njiani kuelekea pale Ngome kuitikia wito wa JWTZ.

Natumai utatuhabarisha yanayojiri kama ulivyofanya juzi kwenye ule mkutano wa TOTAL.

Mungu wa mbinguni akupe wepesi.

Acha uoga wewe hakuna kitakachotokea! Hakuna wa kumpindua Chief Hangaya siyo MABETO wala ZERO.
 
Hakuna mwanajeshi mwenye ubavu mbele ya Kingai, Kingai ni zaidi ya CDF

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni swala la mda police watavuna walichokipanda , inawezekana top ten leaders jeshini wapo upande wa serikali ,ila ukiondoa hao Sio wote wanaweza kuwa wanakubaliana na upuuzi unaofanywa au endelea kufanywa na jeshi la police, ipo siku kitawaka
 
Baada ya CCM kuishiwa ushawishi kwa umma, imepandikiza uccm kwa nguvu kwenye taasisi za umma, matokeo yake hizo taasisi zote zimeuvaa uccm kiasi kwamba hazina jipya tena. Subirini muone hiyo press yao itakavyojaa uccm.
 
Tatizo mmezidi kudanganywa na nyie mnakubali tu kudanganywa kama mazuzu tu

kuna uongo mkubwa kama ule wa kuhubiri EL fisadi kwa zaidi ya 10yrs halafu ndani ya mwaka mmoja anagombea uraisi anaitwa msafi...?..
Kuna uongo mkubwa kama ule wa Dr Slaa alipotudanganya kuna mradi wa bomba la gas kupita baharini kuelekea dubai..?
Kuna uongo mkubwa kama ule wa Dr Slaa kusema Riz 1 kakamatwa na madawa China na JK kaenda kusainishwa mkataba..
Kuna uongo mkubwa kama ule wa TL pale BBC eti mlinzi wa JPM amekufa kwa Covid wakati yuko hai ?....

Wanasiasa wote Tanzani ni waongo tu na matapeli, watanzania wote ukiwemo wewe ni matapeli matapeli na waongo waongo tu..., siwezi kushangaa ndio utamaduni wetu kudanganya na kudanganywa...
 
CDF awe makini sana maana sasa hivi kuna kirusi kipya cha omicron tayari kishatua dar yasije yakamkuta yale ya hayati mayanga wa kitovuni Chato
 
Najua muda huu mkuu Pascal Mayalla uko njiani kuelekea pale Ngome kuitikia wito wa JWTZ.

Natumai utatuhabarisha yanayojiri kama ulivyofanya juzi kwenye ule mkutano wa TOTAL.

Mungu wa mbinguni akupe wepesi.
Mambo ya Total alitujuza sababu huko

Mzee mzima ana mtonyo huko

Ova
 
Back
Top Bottom