Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili kubwa haijawahi kuwa na hofu na akili ndogo
Tumia akili hakuna kitu kama ichoNadhani kuna power struggle mahali!Chain of command ya jeshi ya Mwenda zake Bado ipo!inawezekana kuna jambo ambalo halionekani kwa macho lakini lipo!!!
Hiyo siku haitatokea kamwe na ikitokea basi ni mwsho wa dunia.Ni swala la mda police watavuna walichokipanda , inawezekana top ten leaders jeshini wapo upande wa serikali ,ila ukiondoa hao Sio wote wanaweza kuwa wanakubaliana na upuuzi unaofanywa au endelea kufanywa na jeshi la police, ipo siku kitawaka
View attachment 2027376Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Pia soma: News Alert: - Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari
Namkumbuka hata mwanajeshi mmoja wa cheo cha juu, sikumbuki jina lake, aliwahi kutishia watu, hasa wapinzani wakati huo wa JK.Wakati wa JK TISS walikuwa wanafanya mikutano na waandishi wa habari wanajibu hoja za upinzani.
Mkuu aya Mambo yaache yalivyo?Hiyo siku haitatokea kamwe na ikitokea basi ni mwsho wa dunia.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sion cha kujibu hapoMkuu aya Mambo yaache yalivyo?