Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Kama kuna mtu kaona kifaru kimepaki huko mjini asisite kutujuza ili tujipange kimchakato zaidi......
 
Nadhani kuna power struggle mahali!Chain of command ya jeshi ya Mwenda zake Bado ipo!inawezekana kuna jambo ambalo halionekani kwa macho lakini lipo!!!
 
Nadhani kuna power struggle mahali!Chain of command ya jeshi ya Mwenda zake Bado ipo!inawezekana kuna jambo ambalo halionekani kwa macho lakini lipo!!!
Tumia akili hakuna kitu kama icho
 
Jeshi limepigwa mkwara na kuingia mitini, kila kitu uongo uongo sijui nchi gani hii.!
 
 
Ni swala la mda police watavuna walichokipanda , inawezekana top ten leaders jeshini wapo upande wa serikali ,ila ukiondoa hao Sio wote wanaweza kuwa wanakubaliana na upuuzi unaofanywa au endelea kufanywa na jeshi la police, ipo siku kitawaka
Hiyo siku haitatokea kamwe na ikitokea basi ni mwsho wa dunia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani wanataka kuwaruhusu wale vijana wa JKT waliowaita waasi warudi kujiunga na jeshi.
Kama wakiwaonea huruma wakiwaita JW itakua jambo la afya
 
Ni TAMKO la kisiasa sio la kijeshi tusitegemee hali yoyote ya mshituko kutoka katika kitengo hicho.
 
Wakati wa JK TISS walikuwa wanafanya mikutano na waandishi wa habari wanajibu hoja za upinzani.
Namkumbuka hata mwanajeshi mmoja wa cheo cha juu, sikumbuki jina lake, aliwahi kutishia watu, hasa wapinzani wakati huo wa JK.
 
Back
Top Bottom